Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama nimemuelewa RC ni kwamba wamefanya re-design alafu TAA wamegoma ku-approve licha ya kuwaweka onboard, ndio mwisho anasema kama wakiendelea kuzingua akawashitaki kwa Waziri kuwa watu wako wanatukwamisha.
ohk ila ndugu yangu utalii ni package as a whole na si maneno ya uwanja tu! Ninavyojua mimi NSSF hotel ilikuwa iwe 5 star hotel ya kwanza Mwanza ila zaidi ya miaka nane haijaisha! Pia kuna vitu kama tour companies nadhani wangefanya benchmarking Arusha na Zanzibar waone jinsi utalii unaendeshwa la sivyo ya Chato airport yanaenda kujirudia Mwanza Airport! Mwanza city fits well as mining and business center, the city needs to craft her own niche na si kwa vile Zanzibar, Moshi na Arusha ni tourism centers basi na Mwanza iwe tourism center wanaweza kupotea!
 
ohk ila ndugu yangu utalii ni package as a whole na si maneno ya uwanja tu! Ninavyojua mimi NSSF hotel ilikuwa iwe 5 star hotel ya kwanza Mwanza ila zaidi ya miaka nane haijaisha! Pia kuna vitu kama tour companies nadhani wangefanya benchmarking Arusha na Zanzibar waone jinsi utalii unaendeshwa la sivyo ya Chato airport yanaenda kujirudia Mwanza Airport!
Kuhusu NSSF hotel. Nipo na habari njema. Soon next year mambo yatakuwa mazuri. Niamini mimi.
 
Hebu jaribu kutafuta new
1. Dar Luxy
2. Sauli
3. Kilimanjaro express
Kilimanjaro Exp mpya hizi hapa 👇

20221229_091759.jpg
20221229_091928.jpg

Dar Lux 👇

20221229_091759.jpg
20221229_091928.jpg
darlux_official_167229510408676.jpg
darlux_official_1672295149916710.jpg
darlux_official_1672295149916483.jpg
darlux_official_1672295149915486.jpg
darlux_official_1672295149916116.jpg
darlux_official_1672295149916951.jpg
 
Kuhusu NSSF hotel. Nipo na habari njema. Soon next year mambo yatakuwa mazuri. Niamini mimi.
Yaani kama serikali ingeweza kutoa makao makuu ya Barrick Gold (Acacia) J'burg na kuyaleta Mwanza baada ya kujenga viwanda vya kuchenjua dhahabu, inge-spur maendeleo ya Mwanza kwa haraka kuliko maelezo na ni niche ya kipekee kwa Mwanza bila ya ushindani kutoka mkoa mwingine wewote ule! Ingeleta kukua kwa ujenzi wa maofisi na mahoteli ya kisasa, migahawa ya kisasa na mashule (international) ya kisasa Mwanza huku international air transport ikikua pia!
 
Yaani kama serikali ingeweza kutoa makao makuu ya Barrick Gold (Acacia) J'burg na kuyaleta Mwanza inge-spur maendeleo ya Mwanza kwa haraka kuliko maelezo na ni niche ya kipekee kwa Mwanza bila ushindani! Ingeleta kukua kwa ujenzi wa mahoteli, migahawa na mashule ya kisasa Mwanza huku international air transport ikikua!
Inawezekana. Kuna watu wapigaji walikuwa wanamzunguka Rais. Sasa hivi mambo ni bam bam. Take from me. From next year kuna mengi sana tutayaona. Mwanza itafunguka.
 
Yaani kama serikali ingeweza kutoa makao makuu ya Barrick Gold (Acacia) J'burg na kuyaleta Mwanza inge-spur maendeleo ya Mwanza kwa haraka kuliko maelezo na ni niche ya kipekee kwa Mwanza bila ya ushindani kutoka mkoa mwingine wewote ule! Ingeleta kukua kwa ujenzi wa mahoteli ya kisasa, migahawa ya kisasa na mashule (international) ya kisasa Mwanza huku international air transport ikikua pia!
Halafu Kuna siri nyingi sana kuhusu Mto rufiji. Tayari documents zipo nitaanza kuzimwaga.

Kuna nchi tatu wamejipanga kutukwamisha.
1. Ujerumani
2. Uingereza
3. Ubeligiji

Maana delta ya mto huo kuna siri nyingi sana.
Tokea vita ya kwanza ya dunia. Na muunganiko wa stori ni pamoja na MV Liemba ya Ziwa Tanganyika.
 
Wana mpango kabambe kukausha vyanzo vya mto rufiji.
 
Halafu Kuna siri nyingi sana kuhusu Mto rufiji. Tayari documents zipo nitaanza kuzimwaga.

Kuna nchi tatu wamejipanga kutukwamisha.
1. Ujerumani
2. Uingereza
3. Ubeligiji

Maana delta ya mto huo kuna siri nyingi sana.
Tokea vita ya kwanza ya dunia. Na muunganiko wa stori ni pamoja na MV Liemba ya Ziwa Tanganyika.
mbona wamechelewa mto Rufiji si ndo kwa JNHPP? Sasa kitu kipo 80% watatukwamisha vp? Si hapo January turbines zinaanza kufungwa? Huo mradi wa JNHPP na EACOP ni unstoppable!
 
mbona wamechelewa mto Rufiji si ndo kwa JNHPP? Sasa kitu kipo 80% watatukwamisha vp? Si hapo January turbines zinaanza kufungwa?
Lengo lao ni kukausha vyanzo vya mto.
Kwa sasa wapo watu 9 wamechepusha maji toka mto ruaha.
But tunapambana nao.

Ndani ya Selous Game reserve kuna hotel kubwa tu. Makomando kutoka nchi tajwa huwa wanakuja na kutoka kila mara kwa mara.

Ngoja nitazileta taarifa zote vizuri.
But tunapambana nao na hawatatuwezi. Rais amesema hataki kukwamishwa.
 
ohk ila ndugu yangu utalii ni package as a whole na si maneno ya uwanja tu! Ninavyojua mimi NSSF hotel ilikuwa iwe 5 star hotel ya kwanza Mwanza ila zaidi ya miaka nane haijaisha! Pia kuna vitu kama tour companies nadhani wangefanya benchmarking Arusha na Zanzibar waone jinsi utalii unaendeshwa la sivyo ya Chato airport yanaenda kujirudia Mwanza Airport! Mwanza city fits well as mining and business center, the city needs to craft her own niche na si kwa vile Zanzibar, Moshi na Arusha ni tourism centers basi na Mwanza iwe tourism center wanaweza kupotea!
Ni kweli kiongozi, nadhani hii plan yao ya ku-face lift ile water front ya Mwanza itakuwa mapinduzi pia ya mambo mengi, Mwanza is very potential, viongozi wake ni lazima wawe na exposure ya kutosha kuplan future ya Mwanza for 50years. Ngoja tuone mambo yanavyoenda.
E4BEC18D-CAF7-4747-863A-E888992ADE2E.jpeg
 
Unajua wewe ni mpumbavu sana, unapenda kuji console na kukataa ukweli na kwa bahati mbaya nyie wakundustan hampo kama sisi Watz hamkosoani kutokana na ujinga wa kuzaliwa mlionao, sasa kampuni ku invest kwenye kampuni nyingine ni jambo la ajabu? Ndio maana nakuita mnuka mavi.
Nitolee hasira hapa. Sikuambia mwizi akupigie Leo kazini.

Tanalec is owned by Kenyans 😂🤣😂
 
Ni kweli kiongozi, nadhani hii plan yao ya ku-face lift ile water front ya Mwanza itakuwa mapinduzi pia ya mambo mengi, Mwanza is very potential, viongozi wake ni lazima wawe na exposure ya kutosha kuplan future ya Mwanza for 50years. Ngoja tuone mambo yanavyoenda. View attachment 2461903
Wakazane Mwanza iwe hub shughuli za mining na business as a whole! Ila Utalii sijui kama utaleta impact kubwa na ya haraka ukizingatia wanaenda kushindana na Arusha ambayo ipo mbali na inaendelea kukua kila siku uwanja wa Kisongo unapanuliwa at the moment meaning more flights ukikamilika!
 
Back
Top Bottom