Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hili naona kama wamekosea hebu toa mchango wako engineer mkuu🤣🤣🤣🤣
View attachment 2461935View attachment 2461937
Unapenda kejeli. Hakuna mtu aliyesema kuna kosa. Ni design waliyokuja nayo. Ninyi mnasema treni zitakuwa zinaingia ndani, ndani wapi? Maana ni “tunnel” inayotengenezwa hapo ndio itakuwa njia ya treni kuingia, lakini haitakatisha ndani ya jengo!
 
Unapenda kejeli. Hakuna mtu aliyesema kuna kosa. Ni design waliyokuja nayo. Ninyi mnasema treni zitakuwa zinaingia ndani, ndani wapi? Maana ni “tunnel” inayotengenezwa hapo ndio inatenteneza njia ya treni kuingia, lakini haitakatisha ndani ya jengo!
Sio kejeli tatizo lako ww ni ujuaji mwingi sana sasa sijui ujuaji unakusaidia nn kujifanya everything unajua basi au ww google 🤣🤣🤣 render inasema hvo na engineer wenye dhaman wanasema hvo ww ni nani upinge ??? Au ww unajua kuliko alie design na anaejenga 😆😆 yani engineer anaejenga kaelezea vzr treni zitakazo shusha abiria zitaingia ndani ya jengo ww unapinga kama nani 🤣🤣🤣🤣
20221229_103954.jpg
 
Hebu tuoneshe canopy kwenye hii render na ukiipata tafuta sehem yoyote unywe soda ntalipa mm engineer mkuu🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2461940
Kwanza render Ina perspective moja. Hawajatoa renders nyingine zikionyesha nyuma ya station kutafananaje. Sasa nikuonyeshe Vipi? Ni entrance pekee ndiyo inaonekana. Kuna ile video Yule jamaa anayeelezea ali-skip picha ya cross section ya station. Ngoja nipige screenshot Halafu nikuonyeshe namaanisha nini ninaposema “extended canopy.”
 
Kwanza render Ina perspective moja. Hawatoa renders nyingine zikionyesha nyuma ya station kutafananaje. Sasa nikuonyeshe Vipi? Kuna entrance pekee ndiyo inaonekana. Kuna ile video Yule jamaa anayeelezea ali-skip picha ya cross section ya station. Ngoja nipige screenshot Halafu nikuonyeshe namaanisha nini ninaposema “extended canopy.”
Kipindi nimekuekea video ya engineer alikua akuionesha picha za renders nyingi tu je ulifungua video ukaangalia na je ulimsikia engineer akizungumza 🤣🤣🤣🤣🤣 so ww unajua zaidi ya engineer pamoja na designer ok its good for u 👏👏👏👏👏👏
 
As a matter of fact, Nilitazama video nzima na Ndio Maana nilikwambia ninafahamu ninachokizungumza. Hii ni cross section ya Dodoma station na upande wa mshale niliochora Ndio nyuma ya stesheni. Hiyo structure ya juu ndio “Extended Canopy” tunayozungumzia. Take some time and analyze it.
BED43912-CDAC-4AF5-A397-F90E80D734F1.jpeg
 
As a matter of fact, Nilitazama video nzima na Ndio Maana nilikwambia ninafahamu ninachokizungumza. Hii ni cross section ya Dodoma station na upande wa mshale niliochora Ndio nyuma ya stesheni. Hiyo structure ya juu ndio “Extended Canopy” tunayozungumzia. Take some time and analyze it.
View attachment 2461960
Ok asante engineer mpigieni makofi 🤣🤣🤣👏👏👏👏👏 so tunaomba yule engineer wa TRC ajiuzuru kwakua alitudanganya kwani tumepata engineer mpya jamii forum👏👏 na tunaomba kadogosa amteua engineer wa jamii forum mara moja
Screenshots_2022-12-29-10-54-20.png
 
Mtanzania ni mtu mwenye mahesabu makali sana, bus za kichina ni 150 to 170m tena ni luxury wakat scania ni over 350m anapiga hesabu zake anaona chinnese bus inaweza kusota 2yrs na akarudisha pesa yake na akatia engine mpya ngoma ikanyanyuka tena ndio maana unaona leo soko la bus aina ya scania ni kama limekufa kabisa over 95% BUS ZOTE tanzania ni from china kwasababu ya bei na business issue na soon wachina watakuja kuweka assembly za youtong au zhongtong hapa tanzania
Wakenya hawawezi kununua michina sababu hawana barabara nzuri za kupitisha hizo gari kama za Tanzania
 
Mchina hauwes mkwepa ndio maana ndio nchi inaongosa kwa kuwadai pesa nyingi kenya na bado miradi mikubwa kenya yote ni yao na wanaimiliki wao 🤣🤣🤣 mchina unamkwepa wap

Expressway yao
SGR yao
Avic towers zao
Lamu port yao

Nn utaenea nje ya mchina kenge ww na mpaka misaada ya chakula wanawaletea
Wavimba macho wamehodhi kila kitu cha wakundustan
 
As a matter of fact, Nilitazama video nzima na Ndio Maana nilikwambia ninafahamu ninachokizungumza. Hii ni cross section ya Dodoma station na upande wa mshale niliochora Ndio nyuma ya stesheni. Hiyo structure ya juu ndio “Extended Canopy” tunayozungumzia. Take some time and analyze it.
View attachment 2461960
Hakuna kitu utanifundisha ww niamini nachokwambia 🤣🤣🤣 enjoy
20221229_103954.jpg
 
Ok asante engineer mpigieni makofi 🤣🤣🤣👏👏👏👏👏 so tunaomba yule engineer wa TRC ajiuzuru kwakua alitudanganya kwani tumepata engineer mpya jamii forum👏👏 na tunaomba kadogosa amteua engineer wa jamii forum mara moja View attachment 2461963
Actually, Huyo “engineer” ali-skip kueleza hii cross section akakimbilia picha. Nina-doubts na competency yake. But time will tell. Tusuburi station iishe and I’ll have the last laugh.
 
Actually, Huyo “engineer” ali-skip kueleza hii cross section alakimbilia picha. Nina-doubts na competency yake. But time will tell. Tusuburi station iishe and I’ll have the last laugh.
Tuseme ww unajua kuliko yule engineer basi raha sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣? Hata alie design hajui pia kaaah ama kweli Mungu kaumba
 
Actually, Huyo “engineer” ali-skip kueleza hii cross section akakimbilia picha. Nina-doubts na competency yake. But time will tell. Tusuburi station iishe and I’ll have the last laugh.
I'll be here waiting to laugh with you together 😂😂😂
 
But sikufundishi, ninakuambia. Ni mjinga pekee siku zote huwa conscious na uhaba wa maarifa alionao akiona mwingine anajua kuliko yeye.
Mm mwenyewe najua unaniambia vile vile anajua sasa sijui utaniambia nn 🤣🤣🤣
Canoy tumeiona kwa kweli 😆😆😆😆
Screenshots_2022-12-29-10-54-20.png
 
Back
Top Bottom