Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama hizo figures zingekuwa za uongo tusingekopesheka. Hizi financial institutions zina watu wao wanawapa taarifa za nchi husika. Unafikiri kazi za balozi ni kutoa viza tuu?

Mwenyeshida ni yule asiye kopesheka.

Inaonekana hii issue ya Ghana kufilisika imekusononesha sana, hasa kwa kuwa Kenya ipo kwenye mwendo huo huo. Pole sana jirani, mmejitutumua sana kumuiga tembo kunya mavi makubwa, msilie sasa.
Umesoma nilichoandika? External debt yenu ni 40%, yetu ni 32.6%, Nani Aliye na shida Kati ya hawa wawili?
 
Ghana waneshafikia deni la zaidi ya 78% ya GDP, sisi bado sana, hata 50% hatujafika.

Kuhusu hiyo $10b, wewe hujui siasa zetu za ndani, kauli hiyo imesemwa ili kuficha uwezo mdogo wa uongozi wa awamu hii ya '6'.

Awamu hii haijatumia pesa za ndani hata kidogo kuendesha miradi, kutokana na ukusanyaji mdogo wa kodi. Makampuni hayalipi kodi, serikali haina pesa mpaka wameamua kuwakamua tozo wananchi. Hivyo kwa kuwa wamekopa sana wanaona aibu ndiyo maana wameamua kutoa figure ya jumla ($10b) bila maelezo.
Chamoto kumbe na wewe ni mzushi?
Awamu ya 5 hawajawahi kukusanya kodi kama awamu hii,matumizi ni makubwa kuliko uwezo ndio maana wanakopa lakini usipindishe uhalisia
20220702_115435.jpg
 
Citizen ni station ya juzi imekuja kama tushaondokea huu upuzi wa kuzunguka na jigari limejaa misatelite.
Citizen TV ni noma.., those vehicles are called OB vans.., (outside broadcasting vans) still needed today., Citizen has many OB Vans na pia wako na chopper..., I doubt kuna any media house in Tz with a news Chopper..,
1671715987892.png
 
Another one
Acha wakope tu alafu tufikie hali ya Ghana na miradi yao isiwe na tija ndio tutaelewana vizuri...Nilitegemea hiki ndio kipindi cha kwenda taratibu wao wanaonekana wanapupa sana...

Matokeo yake mwaka ujao wa fedha watatenga zaidi ya 10trillions tshs kuhudumia mikopo
 
Acha wakope tu alafu tufikie hali ya Ghana na miradi yao isiwe na tija ndio tutaelewana vizuri...Nilitegemea hiki ndio kipindi cha kwenda taratibu wao wanaonekana wanapupa sana...

Matokeo yake mwaka ujao wa fedha watatenga zaidi ya 10trillions tshs kuhudumia mikopo
Hali ya Ghana ikoje. Mbona propaganda zinakuwa nyingi.
 
For your information I did business in Highschool and I got plan A, I also did Basic Economics in first Year and I got A plan as well. So as far as basic business is concerned you can't tell me anything.
You think business is receiving cash and giving change!

Katika maisha yako ushawahi kuandika hata business plan wewe nyang'au!?
 
Back
Top Bottom