Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapana, Tanzania iligongwa mbaya sana.
Hospital za kenya hazijai hata kwenye kiganja

Screenshot_20221222-205214.png
 
Nchi ambayo iko bankrupt unalinganisha na Tanzania? You must be very funny size yao ni Kenya Tz hawaiwezi.
Licha ya matatizo walionayo Kenya bado pia wanatuzidi, Shida yenu ni kujificha kwenye ujinga,Ukweli haubadiliki hata mkiandamana kupinga...Wold bank,imf hata Serikali ya Tanzania wanajua tumezidiwa,lakini ni wewe ndio unaona Otherwise Ujinga ni kipaji
 
Mi hua sipatani wa watu wenye akili kama hizi, ukikubaliana na facts nini kitakupungukia? Tz ni nyumbani ndio lakini haibadili kwamba Ghana wametuzidi uchumi, wa Ghana wanamaisha mazuri kuzidi watanzania, nenda kabishane na World bank
Sasa mzee unajichanganya mwenye tu. Sipendi ujinga ujue.
Mara unasema Ghana uchumi wake umekufa mara Ghana inatuzi. Which is which. Sielewi hata unataka kusema nini!?
 
Sasa mzee unajichanganya mwenye tu. Sipendi ujinga ujue.
Mara unasema Ghana uchumi wake umekufa mara Ghana inatuzi. Which is which. Sielewi hata unataka kusema nini!?
Unataka uelezwe nn ili uelewe nn.?
Habari za Ghana kufilisika ni habari kamili Tatizo unasubiri kila uambiwe we huwezi kusoma mwenyewe?
Kwahyo unaona Tanzania tumeendelea sana Sindio?
Screenshot_20221222-212505_Chrome.jpg
Screenshot_20221222-212518_Chrome.jpg
 
They employed a "heard immunity" strategy. Don't come here and make it like they used something so sophisticated!

Na kama wewe huamini mungu na huabudu wala kusali basi usitake kulazimisha watu wengi tusisali.
I am a Christian. A devoted Christian for that matter. But Christian teachings tell me that God helps those who help themselves. You can't pray over a serious health issue and still subject yourself to the same danger you are praying over and expect God to help you. You must take precautions even as you pray over that issue. Don't take us for fools.

About herd immunity (it's herd immunity btw, not heard immunity as you put it), ulisoma wapi kwamba kujifukiza as Tanzanians did during Covid, forms part of herd immunity? Do some research on herd immunity and how it helps a community, not an individual person, become immune to a disease then come back for engagement
 
Unataka uelezwe nn ili uelewe nn.?
Habari za Ghana kufilisika ni habari kamili Tatizo unasubiri kila uambiwe we huwezi kusoma mwenyewe?
Kwahyo unaona Tanzania tumeendelea sana Sindio?View attachment 2454991View attachment 2454992
Unajichosha tu.
Nadhani kichwa chako hakiko sawa.
Nimekuuliza tangu mwanzo kufilisika kwa Ghana kunatuhusu nini sisi!? Nikakuuliza tena unataka tusikope!? Unanipigia kelele tu.
 
Back
Top Bottom