Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bajeti ya trillion 35 ni bajeti ya mwaka mmoja, SGR itamalizika 2026 kuanzia 2017, hiyo ni miaka 9, Kama ukifanya hesabu ni 35trl x 9 = 315trl. Kwa kutumia akili yako vipi inawezekana au haiwezikani kujenga SGR ya 23trl kutoka kwenye bajeti ya 315trl?.

Halafu hiyo miradi mingine uliyotaja BRT, Dar na Msalato Airports sio pesa za ndani, ila Bwawa la Nyerere ni pesa za ndani. Jaribu kufikiria kabla ya kuandika kitu, sio wote hapa ni mbumbumbu Kama wakenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mimi nilimuuliza swali dogo tu, "Ni wakati gani aliacha kuwa serious na masomo darasa la ngapi?".

Jamaa anasikiliza na kumeza tu propaganda za viongozi waliofeli wakina Samia.
 
nairobae 🤣🤣🤣🤣 ukipata ushahidi tag me plz
Screenshots_2022-12-20-22-23-43.png
 
Nakubaliana nawe kwa hili. JPM aliwadanganya sana watanzania kuhusu ufadhili wa miradi mikubwa and it's a pity most Tanzanians believed him. Afadhali yule anayekuambiwa ukweli mchungu kuliko anayekudanganya na uwongo mtamu
Ninyi wakenya hakuna zaidi ni wivu tu, mnataka tulingane katika ujinga. Swali la kujiuliza ni kwamba, Tanzania ndiyo inayoongoza kwa miradi mikubwa hapa EA, thamani ya miradi iliyoanzishwa na JPM ni zaidi ya thamani ya miradi yote ya KE, UG, RW + BRD combined, Kama miradi yote ni mikopo, iweje Tanzania iwe ndiyo nchi yenye deni dogo zaidi kuliko nchi zote?, Tanzania Debt to GDP ratio was 36% by the time Magufuli anakufa, the lowest in the region

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom