Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi siwezi wacha gari langu nkapande brt nipakwe jasho na masharobaro na kukwama kwa junctions wakati naweza lipia expressway nifike na dakika kumi
Gari unapark kimara uko unaingia mjini na rapid bus Unless iwe ni lazima sana kuingia nalo mjini...sasa kwa dar ilivyo kila mtu alisema anakomaa na gari lake hata parking ni shida mjini
 
Tukope tu, deni bado ni himilivu, zama za kudanganywa hatukopi huku tunakopa kimyakimya zimepitwa na wakati. BTW utajengaje over 1500km za SGR (about 23trilion), Bwawa la umeme, BRT, International Airports, miradi mingine ya maendeleo kwa bajeti ya 35trilion?

Walipa kodi wenyewe hakuna wa kutosha, tozo hamtaki, kukopa pia hamtaki ila mnataka kushindana humu na miradi ya matrilioni……nyie watu vipi?
Bajeti ya trillion 35 ni bajeti ya mwaka mmoja, SGR itamalizika 2026 kuanzia 2017, hiyo ni miaka 9, Kama ukifanya hesabu ni 35trl x 9 = 315trl. Kwa kutumia akili yako vipi inawezekana au haiwezikani kujenga SGR ya 23trl kutoka kwenye bajeti ya 315trl?.

Halafu hiyo miradi mingine uliyotaja BRT, Dar na Msalato Airports sio pesa za ndani, ila Bwawa la Nyerere ni pesa za ndani. Jaribu kufikiria kabla ya kuandika kitu, sio wote hapa ni mbumbumbu Kama wakenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Gari unapark kimara uko unaingia mjini na rapid bus Unless iwe ni lazima sana kuingia nalo mjini...sasa kwa dar ilivyo kila mtu alisema anakomaa na gari lake hata parking ni shida mjini
Tajiri na middleclass wa dar wanateseka kweli. Unachangywa na umaskini bila kupenda. Hakuna ustaarabu kwa brt
 
Assembled in Mombasa Kenya for lazy bongalalas.
Wachapa kazi mmeshindwa kuzoa takataka mpaka wachina waje.
Screenshot_20221220-222239.png
 
Back
Top Bottom