Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukistajabu ya musa, usisahau ku download ya foraoni

FB_IMG_1669276839944.jpg
dn16418-5_500.jpg
FB_IMG_1669276873787.jpg
English-bulldog-FT-760x507.jpg
FB_IMG_1669276868661.jpg
 
Hata hili ni SUVs ghali mkuu. Ila naelewa point yako
View attachment 2426052
Hiyo Ridgeline siyo SUV, ni gari ya kazi (pickup truck).
Nikikuambia utakuwa unazunguka mikoa mbalimbali kukagua miradi ya maendeleo kwa gari kwa miaka yote utakayokuwa ofisin
Kwa usalama wa afya yako hasa kwenye maeneo korofi.. unachagua gari gan kati ya hizi
Kuna gari nyingi ndogo ziko comfortable tuu na bei zake poa. Kama watumishi wanataka ma SUV si watumie magari yao binasfi? Kwa nini waibebeshe serikali gharama kubwa?
View attachment 2426054
View attachment 2426066The point mim naona sio viongozi kutumia hizo SUVs. The point is rasilimali zetu/miradi ya maendeleo wanazisimamia vizur? Au viongozi wetu wanaajibika vip kutupigania kuleta maendeleo?
Kweli, usimamizi unatakiwa uwe mzuri, lakini pia gharama inabidi zipunguzwe.
Afu imagine huyu ni wazir wa serikal ya sasa alivyo, hata ningekuwa mim, nisingetaka awe anapanda 'V8' ya serikal

Huyu mtu huwa hata sitaki kumsikia, ni zero kabisa. Mama anapenda kuwaondoa watu makini na kuwaweka vilaza. Angalia Hapi, alikuwa mchapakazi mzuri sana, kamuondoa. Kijana wa watu ameamua kujilimia zake pili pili, nako huko kutusua tuu.
 
Unajua maana ya expressway?mbona we ni limbukeni namna hii sikujua

Unajua maana ya ring roads? Hujui sasa uko hapa kubishana tu hujui chochote.

Unaishi dar na hujui lolote sad
Maboga kama haya yalikuwa mengi kweli kweli enzi zile thread inaanza but now yamebaki machache mno yanamalizia malizia.
 
Biggest Park in Africa?
Affordable housing
Commercial areas
$800+ million

 
Back
Top Bottom