Uliandika kwa maumivu sana kujiliwaza tu, umeumia






, ukweli ina kuachaga hoi., madeni hamuwezi kulipa taifa fukara, utapia mlo, ufukara wa kutupwa kwa raiya yaani 80%.., 90% mnaishi nyumba duni na maisha duni ya kimasikini, sio porojo, google earth haidanganyi na haina mapendeleo, haiwaonei yaani inaonyesha Tanzania yoote! eti vingunguti pekee, nyambaff






, unajaribu kutetea kile kilicho wazi, Dar na Tanzania yote 80% ya makazi ni uswazi, usijitoe ufahamu kifala mjukuu

., inauma ila zoea mapema upone, sitakuacha mimi hadi unyooke kwa ukweli., ukitaka lia kabisa na upige nduru, ukweli haubadilishi wewe, jipende mlivyo, usione aibu, ni mambo ya dunia yalivyo, jikubali bro hautapigwa na mtu, ombea taifa lipate maendeleo mwafaka wacha kulia lia na kutetea ujinga, hadi raha,










