Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye barabara wanatuzidi,expressway Dar hatuna,ring roads zao ni dualcarriage ways zetu ni single lanes,Nairobi wana Airport 2 dar iko moja hivyo ni vitu basics kabisa
Nairobi hakuna;
1)Bus stands za kisasa
2)Masoko ya kisasa
3)BRT
4)Airport kubwa na modern
5) Uwanja wa Mpira wa kisasa
6) Madaraja ya kisasa Kama Tanzanite na Kigamboni

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nairobi hakuna;
1)Bus stand za kisasa
2)Masoko ya kisasa
3)BRT
4)Airport kubwa na modern
5) Uwanja wa Moira wa kisasa
6) Madaraja ya kisasa Kama Tanzanite na Kigamboni

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Excuses uchwara.., markets ziko kilaza, tena kubwa zaidi, yaani hauna point, very minor things 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
I lived in Mombasa for some years, ni kubwa sana more than what u see on youtube na internet.,, infact I find CBD yao, yani town area inashinda Nairobi old CBD.., ni ile Mombasa is relatively older.., kile kinafanya Nairobi ikue zaidi ya Mombasa it has more than one CBD well developed na other centers kama akina Eastleigh, Ngara, Kilimani etc.., ukijumuisha itashinda Mombasa, lakini ukubwa wa old CBDs town area coverage, Mombasa takes it.., estates pia Mombasa has very big estates, with town centers., sio mchezo..,
.,
Mombasa Island town coverage.., vs Nairobi old CBD
View attachment 2425948

Nairobi Old CBD..,
View attachment 2425950
You are 100% right, Mombasa island where CBd is located is way bigger than Nairobis main CBD this makes Mombasa CBD larger than dar-is-a-slum 3 tower cbd
Screenshot_20221124-123737.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20221124-123520.jpg
    Screenshot_20221124-123520.jpg
    98 KB · Views: 13
You are 100% right, Mombasa island where CBd is located is way bigger than Nairobis main CBD this makes Mombasa CBD larger than dar-is-a-slum 3 tower cbd
View attachment 2425975
Exactly.., Mombasa imekosa tu tall towers za over 30 floors kama mbili ama tatu., na BRT then it's game over.., outside Dar Tanzania yoote hakuna a town yenye inakaribia hii Mombasa.., only a fool will argue.,yaani kujiliwaza tu...,
1669283341211.png

1669283391081.png

1669283431327.png
 
Hebu tuonyedhe hiyo Kinondoni tucheke kidogo ndugu
Kinondoni inachukua msasani peninsula, Kijitonyama,hananasif,kawe,mbezi beach, mbweni,boko, Bunju nk...Ndio Wilaya yenye matajiri wengi kwa Jiji la dar na ndio wilaya yenye maeneo ya wadosi karibu yote...

Barabara kubwa ni New bagamoyo Road ambayo inatoka Mjini posta all the way to Bagamoyo
20220920_120037.jpg
20221108_203655.jpg
20221029_203243.jpg
20221001_171650.jpg
0L7C1188.jpg
0L7C1219.jpg
Screenshot_20221124-121956_Chrome.jpg
Screenshot_20221124-123447_Chrome.jpg
 
Is the first pic still Mombasa?
Yes.., hapo ni Mombasa city centre penyewe.., picha ya zamani, when that tall residential was under construction, kuna jama wamepiga hii picha from afar, outskirts waka zoom, its from youtube.,
CBD towards Kizingo..,
1669283764724.png
 
Parts of Mombasa from google earth..., 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
View attachment 2425997
View attachment 2425999
Screenshot_20221124-125317_Chrome.jpg
which Google Earth App is this bro.. i realize in this App.. 3D images are more elaborate than the one i use!.

please tell what its called in 'PlayStore'..
think am used to this older version may be. i mean this one👇🏽

Screenshot_20221124-125032_One UI Home.jpg
 
Kinondoni inachukua msasani peninsula, Kijitonyama,hananasif,kawe,mbezi beach, mbweni,boko, Bunju nk...Ndio Wilaya yenye matajiri wengi kwa Jiji la dar na ndio wilaya yenye maeneo ya wadosi karibu yote...

Barabara kubwa ni New bagamoyo Road ambayo inatoka Mjini posta all the way to Bagamoyo View attachment 2425929View attachment 2425931View attachment 2425933View attachment 2425935View attachment 2425988View attachment 2425990View attachment 2425995View attachment 2425996
Nice pictures and good information but did you realize that you mentioned several areas that is almost half of Mombasa in size? Putting size aside (given Mombasa's relatively smaller geographical area), show me a density close to this in Kinondoni that you mentioned is ahead of Mombasa
1669283341211~2.png
 
Yes.., hapo ni Mombasa city centre penyewe.., picha ya zamani, when that tall residential was under construction, kuna jama wamepiga hii picha from afar, outskirts waka zoom, its from youtube.,
CBD towards Kizingo..,
View attachment 2426000
True. On a second look, I have seen a few buildings that I recognize
 
Hivi wewe unakaa mji gani hapa Tanzania? Usikute ninabishana na mtu yuko huko Nyarugusu.

Expressway
Hiyo hapo mjini ya SGR ni mihogo?

Ring roads
Unaijua Dar vizuri wewe Dar iko coast imepakana na bahari na kama hujui Mandela road na Sam Nujoma roads ni ring roads kwa Dar

Airports
Dar has state of the art Airport ambayo huipati kwa mji wowote hapa EA. Besides we are talking about modernity na superior infrastructure not numbers of which all airport facilities in Naipori are in a sorry state.
Hata kawawa Road ni Ring road pia
 
Bado unaona sawa serikali kununua SUVs ghali wakati inashindwa kutoa umeme?
Hata hili ni SUVs ghali mkuu. Ila naelewa point yako
9334643.jpeg.jpg



Nikikuambia utakuwa unazunguka mikoa mbalimbali kukagua miradi ya maendeleo kwa gari kwa miaka yote utakayokuwa ofisin
Kwa usalama wa afya yako hasa kwenye maeneo korofi.. unachagua gari gan kati ya hizi
9334643.jpeg.jpg

Land_Cruiser_200_-_PNG.png
The point mim naona sio viongozi kutumia hizo SUVs. The point is rasilimali zetu/miradi ya maendeleo wanazisimamia vizur? Au viongozi wetu wanaajibika vip kutupigania kuleta maendeleo?
Afu imagine huyu ni wazir wa serikal ya sasa alivyo, hata ningekuwa mim, nisingetaka awe anapanda 'V8' ya serikal
 
Back
Top Bottom