tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Tuonyeshe zenu Za kisasa kwanzaMbona hazikai za kisasa?
View attachment 2425563
Tuonyeshe zenu Za kisasa kwanzaMbona hazikai za kisasa?
View attachment 2425563
Ndio maana nimemuuliza alitegemea kue na daraja la kuvuka kwenda wapi?unapotengeneza Hoja simama na Hoja yako mwenyewe.Hapo umeona cable stayed tu! mbona ame-mention vingi!
Punguza kulamba kondoo matrakoo.
Tuseme hii hapa ni mamako amekaa juu ya carriage ama?Hiko kibwenzi sgr ya Kenya hakuna na kina kazi yake maalumu.
Nimecheka leo eti Kenya anakula uji wa mgonjwa!Kenya ni nchi ya hovyo sn usicheke nayo, ukiwachekea kdg tu wanakuomba.




Kuna watu bado washamba sana nchi hii halafu pamoja na ushamba huo bado ni wajuaji na vimbelembele.Tueleweshe, hayo mabehewa ya diesel yakoje, yanasehemu ya kuwekea mafuta au?
kama mtaweza 
Hoja ilikuwa sio cable stayed bridge. Hoja ilikuwa Naipori iko ahead of Dar according to you nikaleta mfano mdogo to wa miundombinu ya kisasa ya Dar. Nikitarajia ulete na wewe miundombinu ya kisasa ya Naipori inayoshinda ya Dar.Ndio maana nimemuuliza alitegemea kue na daraja la kuvuka kwenda wapi?unapotengeneza Hoja simama na Hoja yako mwenyewe.
Tatizo mnajiropokea tu imradi muonekane nanyi mmo.
Ukweli ni kitu kigumu sana humu ndani sio kwa watz ama wakenya...mtazungusha lugha tu hapa hakuna siku kitaeleweka
Dar hakuna expressway?Wewe mshamba leta infrastructure iko Nairobi ambayo Dar haiko nitakubali kuwa Naipori imeishinda Dar otherwise chill sio lazima uchangie hapa.
Hiyo ni air extractor you fool.
Kwenye barabara wanatuzidi,expressway Dar hatuna,ring roads zao ni dualcarriage ways zetu ni single lanes,Nairobi wana Airport 2 dar iko moja hivyo ni vitu basics kabisaHoja ilikuwa sio cable stayed bridge. Hoja ilikuwa Naipori iko ahead of Dar according to you nikaleta mfano mdogo to wa miundombinu ya kisasa ya Dar. Nikitarajia ulete na wewe miundombinu ya kisasa ya Naipori inayoshinda ya Dar.
Hivi wewe unakaa mji gani hapa Tanzania? Usikute ninabishana na mtu yuko huko Nyarugusu.Dar hakuna expressway?
Dar hakuna Airport 2..?
Dar hakuna ring roads zenye double lanes?
Tuanzie hapo
Unajua maana ya expressway?mbona we ni limbukeni namna hii sikujuaHivi wewe unakaa mji gani hapa Tanzania? Usikute ninabishana na mtu yuko huko Nyarugusu.
Expressway
Hiyo hapo mjini ya SGR ni mihogo?
Ring roads
Unaijua Dar vizuri wewe Dar iko coast imepakana na bahari na kama hujui Mandela road na Sam Nujoma roads ni ring roads kwa Dar
Airports
Dar has state of the art Airport ambayo huipati kwa mji wowote hapa EA. Besides we are talking about modernity na superior infrastructure not numbers of which all airport facilities in Naipori are in a sorry state.
No of airport inaongea jambo,wanatuzidi idadi wa wageni ama wasafiri wanaotumia izo airport, Lakini kwa akili yako finyu huwezi kuelewa.Hivi wewe unakaa mji gani hapa Tanzania? Usikute ninabishana na mtu yuko huko Nyarugusu.
Expressway
Hiyo hapo mjini ya SGR ni mihogo?
Ring roads
Unaijua Dar vizuri wewe Dar iko coast imepakana na bahari na kama hujui Mandela road na Sam Nujoma roads ni ring roads kwa Dar
Airports
Dar has state of the art Airport ambayo huipati kwa mji wowote hapa EA. Besides we are talking about modernity na superior infrastructure not numbers of which all airport facilities in Naipori are in a sorry state.
Expressway ni njia ya kupitisha motorised vehicles bila kuingiliana kwenye makutano. Sasa niambie train sio motorised vehicles? Limbukeni ni nani hapa? Expressway iko kwa train na magari pia kama hujui.Unajua maana ya expressway?mbona we ni limbukeni namna hii sikujua
Unajua maana ya ring roads? Hujui sasa uko hapa kubishana tu hujui chochote.
Unaishi dar na hujui lolote sad
Bora ungenyamaza tuExpressway ni njia ya kupitisha motorised vehicles bila kuingiliana kwenye makutano. Sasa niambie train sio motorised vehicles? Limbukeni ni nani hapa? Expressway iko kwa train na magari pia kama hujui.



Haya, nionyeshe hiyo air extractor kwa carriage zenu if you believe you're making sense.Hiyo ni air extractor you fool.
Leta ushahidi hapa kwamba hizo barabara sio ring roads kwa DarUnajua maana ya expressway?mbona we ni limbukeni namna hii sikujua
Unajua maana ya ring roads? Hujui sasa uko hapa kubishana tu hujui chochote.
Unaishi dar na hujui lolote sad
Kwahyo nyerere Road ni ring road? Unajua hata unalosema kweliLeta ushahidi hapa kwamba hizo barabara sio ring roads kwa Dar
Halafu I doubt kama unajua maana ya ring road apart from kukariri.



Hatuongelei idadi ya wageni kijana usihamishe mjadala hapa tunaongelea modern infrastructure ambazo ni superior.No of airport inaongea jambo,wanatuzidi idadi wa wageni ama wasafiri wanaotumia izo airport, Lakini kwa akili yako finyu huwezi kuelewa.
Sina haja ya kukueleza jambo lolote tena nna kazi za kufanya
Dude, an expressway is a road - also know as a freeway, motorway, or Boulevard. Uko na kiherehere Sana kwa vitu hujui. Ati train inapitia kwa expressway. Alafu unapata mjinga amelike hiyo post. Watu ni wajinga huku.🤣🤣🤣🤣Expressway ni njia ya kupitisha motorised vehicles bila kuingiliana kwenye makutano. Sasa niambie train sio motorised vehicles? Limbukeni ni nani hapa? Expressway iko kwa train na magari pia kama hujui.
Barabara za Mandela, Sam Nujoma, Bagamoyo, Ali Hassan, Bibi Titi, na Nyerere zinatengeneza ring road, Dar es salaam. Ndiyo maana hizi barababra zimekuwa zikitanuliwa kidogo kidogo toka 1982, kampuni ya Mowlem ilipoitanua Pugu road (Nyerere) na Port Axis (Mandela ), kuwa divided highway.Unajua maana ya expressway?mbona we ni limbukeni namna hii sikujua
Unajua maana ya ring roads? Hujui sasa uko hapa kubishana tu hujui chochote.
Unaishi dar na hujui lolote sad