Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

truely speaking.. mombasa and dar-es-salaam is one thing!.
ni venye tu mombasani hamna ghorofa tatu za blue.... hio tu! otherwise ni mandugu wa, toka-nitoke!

Mana wanasema zitaanza kazi January
Yeah . Most likely ni zile 2 engines from Europe or something

Kumbuka the deal from Hyundai is the most Exciting one, 10 Sets of EMU @8 Cars and 17 Electric Locomotives (Engines)

Sasa hizi Electric Locomotives 17 ndo zinahitaji kuwa na mabehewa ya kutosha .So far hayo yanayotoka Korea hayatatosha , Kuna mabehewa 1430 ya mizigo kutoka China pia

So GOT inaangiza mabehewa from various sources .

Dont Expect good engines zitazokuwa better zaidi ya hizo 17 from Korea zitazoarrive in 2024 . Most tutazo receive itakuaa ni 2 au 3 from Eurowagon or somewhere else

Kwa EMU set 10 kila Set inaweza kubeba 590 Passengers at time. Kwa view yangu Wakiorder Set 10 kwa kila phase ya SGR sio mbaya kwa kuanzia . Inagwa Phase Ya Dar Dom ndo itahitaji EMUs nying zaidi overtime
Screenshot_20221123-185942_Chrome.jpg
 
truely speaking.. mombasa and dar-es-salaam is one thing!.
ni venye tu mombasani hamna ghirofa tatu za blue.... hio tu! otherwise ni ndugu wa, toka ni toke

Nairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza

Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
 
Nairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza

Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
Mombasa has a bigger port than Dar, better railway line and station, better roads, so what exactly does Dar lead Mombasa in? Population?
 
Mombasa has a bigger port than Dar, better railway line and station, better roads, so what exactly does Dar lead Mombasa in? Population?
So if Bagamoyo will get a bigger port and SGR link it is already better than Mombasa
 
truely speaking.. mombasa and dar-es-salaam is one thing!.
ni venye tu mombasani hamna ghorofa tatu za blue.... hio tu! otherwise ni ndugu wa, toka ni toke

Hakuna infrastructure yoyote ile ipo East Africa hii ikakosa kuwepo Tz ila kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kuziona East and Central Africa hilo ulielewe.
 
Nairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza

Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
Nairobi imezidi Dar kwenye nn be specific usiwe mpumbavu, Dar pia inezidi miji yote ya EA kwenye mambo mengi tu. Usiwe mjinga wa kukubali vitu kirahisi rahisi namna hiyo mjinga wewe.
 
Nairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza

Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
Ona hapa ulivyoropoka, eti Dar inazidi Mombasa, we pumbavu kweli kweli, sasa unafanya nini humu mana hii ni battle ya Dar vs ka Nairobi.
 
Back
Top Bottom