Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Uliandika kwa maumivu sana kujiliwaza tu, umeumiaππππππ, ukweli ina kuachaga hoi., madeni hamuwezi kulipa taifa fukara, utapia mlo, ufukara wa kutupwa kwa raiya yaani 80%.., 90% mnaishi nyumba duni na maisha duni ya kimasikini, sio porojo, google earth haidanganyi na haina mapendeleo, haiwaonei yaani inaonyesha Tanzania yoote! eti vingunguti pekee, nyambaffππππππ, unajaribu kutetea kile kilicho wazi, Dar na Tanzania yote 80% ya makazi ni uswazi, usijitoe ufahamu kifala mjukuu π π π π π π ., inauma ila zoea mapema upone, sitakuacha mimi hadi unyooke kwa ukweli., ukitaka lia kabisa na upige nduru, ukweli haubadilishi wewe, jipende mlivyo, usione aibu, ni mambo ya dunia yalivyo, jikubali bro hautapigwa na mtu, ombea taifa lipate maendeleo mwafaka wacha kulia lia na kutetea ujinga, hadi raha,ππππππππππππMe nilifikiri unaongelea tuko hovyo kwamba tuna njaa year in year out kama nyie, kwamba tunasumbuliwa na magonjwa mpk yale ya aibu kama nyie, kwamba tuna madeni na tunadaiwa na kila nchi kama nyie, kwamba 70% ya wananchi wanaishi kwenye slums kama nyie, kwamba tuna elimu mbovu kama nyie, kwamba tuna ukabila kama nyie, kwamba sisi ni washenzi kama nyie kumbe unaongelea uhovyo wetu kwa kutumia kigezo cha Google earth alafu hyo Google earth yenyewe unaongelea kasehemu kadogo ka Vingunguti, we kweli mbwa![]()
Haya nielezee na hizi hapaIzo ni barabara ambazo unaweza kuendesha kwa speed hadi 120 na kuendelea,zinakua na double lanes na kuendelea kwa uelekeo mmoja,hakuna zebracrossing, hakuna humps,kwenye junction zote kuna overpass,ama flyovers.. njia za kuingia barabara izo ziko controlled huingii tu kichwa kichwa, na mara nyingi hua ni zakulipia.
Kwa kusema ivyo utakua ushaelewa

Tembea uone dunia usikae tuu hapo Nyarugusu ukaona ndio dunia.Izo ni barabara ambazo unaweza kuendesha kwa speed hadi 120 na kuendelea,zinakua na double lanes na kuendelea kwa uelekeo mmoja,hakuna zebracrossing, hakuna humps,kwenye junction zote kuna overpass,ama flyovers.. njia za kuingia barabara izo ziko controlled huingii tu kichwa kichwa, na mara nyingi hua ni zakulipia.
Kwa kusema ivyo utakua ushaelewa
Tell that to Sama boy 255 na The best 007 , watakunyonga wakikupata., π π π π π π πNairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza
Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
Bado nasubiri maana ya Ring Road toka kwako. Ili nielimike na mimi pia.Unajua maana ya expressway?mbona we ni limbukeni namna hii sikujua
Unajua maana ya ring roads? Hujui sasa uko hapa kubishana tu hujui chochote.
Unaishi dar na hujui lolote sad
Ukweli iliuma hadi kwa mishipa, unaugua kweli, hadi unatukana mwenzio, wewe ni fala kweli.., mbona liko wazi kilaza, vumilia hauwezi badilisha lolote, zoea tuπ π π π π π π π π π πNairobi imezidi Dar kwenye nn be specific usiwe mpumbavu, Dar pia inezidi miji yote ya EA kwenye mambo mengi tu. Usiwe mjinga wa kukubali vitu kirahisi rahisi namna hiyo mjinga wewe.
Hii Dar is slum moja, nenda ukadanganye wamalawi kuleeeee, wasio ijua na kuiona Dar..., city ya ka CBD kamoja na makazi vitongoji 80%.., ujinga tuondolee.., mko hovyo it's a fact!, inauma sanaππππππππππππππZuzu ilo, halioni Wakunya humu hawakubali chochote toka Tz lkn yeye anajifanya kukubali vitu kirahisi rahisi tu.
Dar kwa sasa iko mbele ya miji yote ya EA tuna guts za kusema hivyo, tuna infrastructures za kisasa zaidi kuliko miji yote EA, huyu zuzu bado ana historia ya zamani sn.
Wewe uko hapa kubishana sio kujielimishaBado nasubiri maana ya Ring Road toka kwako. Ili nielimike na mimi pia.
Dude, an expressway is a road - also know as a freeway, motorway, or Boulevard. Uko na kiherehere Sana kwa vitu hujui. Ati train inapitia kwa expressway. Alafu unapata mjinga amelike hiyo post. Watu ni wajinga huku.![]()




this Danganyikan needs a brain transplantNairobi kuna airport tatu. Mbili za civilian (wilson & jkia) na moja ya jeshi huko Eastleigh airbaseKwenye barabara wanatuzidi,expressway Dar hatuna,ring roads zao ni dualcarriage ways zetu ni single lanes,Nairobi wana Airport 2 dar iko moja hivyo ni vitu basics kabisa
Kenya hatukusema tunaleta train za kisasa, serikali ilisema italeta train ambazo zinaambatana na sgr na kazi zake.Tuonyeshe zenu Za kisasa kwanza




Mbona ukweli inawauma sana? mnatia huruma, jikubalini tuπππππππππππHivi wewe unakaa mji gani hapa Tanzania? Usikute ninabishana na mtu yuko huko Nyarugusu.
Expressway
Hiyo hapo mjini ya SGR ni mihogo?
Ring roads
Unaijua Dar vizuri wewe Dar iko coast imepakana na bahari na kama hujui Mandela road na Sam Nujoma roads ni ring roads kwa Dar
Airports
Dar has state of the art Airport ambayo huipati kwa mji wowote hapa EA. Besides we are talking about modernity na superior infrastructure not numbers of which all airport facilities in Naipori are in a sorry state.
Wewe kila siku huna akili, matusi ndio zakoSo every thing should be painted in yellow just because the colour is found in our national flag? You must be stupid.
Hayo mabehewa ni ya mtumba?Magufuli alinunua Ndege Mpya, akajenga na Meli Mpya, ni mjinga pekee atakayeamini alinunua mabehewa mtumba.
Samia anatuabisha.
Unaumia ukiwa wapi, mpk unachanganya behewa za kisasa unaita treni![]()