Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wa there's no infrastructure in Nairobi that you will not Dar, where are you? I wanyyou show me something like this from Dar.

tapatalk_1665667218082.jpeg
 
Kawawa road sio ring road kaka, ukitasfiri tu neno "ring", ni huzuni ila inabidi tu tuseme ukweli Dar es Salaam hatuna a complete ring road.
Rejea proposed master plan ya JICA utaona inner ring road, outer ring road na nyingine ambayo ni future outer ring road inayozunguka mpk mkoa wa pwani huko
 
Watakujia na matusi tu sio hoja zenye mashiko
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Malengo yetu kwny ring road zetu kwa sasa ni kuunganisha highway zetu kuu ambayo ni ile ya mbagala inayotoa magari kwnd kusini ya pili ni Nyerere road ambayo inatoa magari kuelekea pwani ya tatu ni Morogoro road na ya nne ni Bagamoyo road so ring roads zetu zote must connect barabara zote hizo nilizotaja hapo juu kwny mizunguko yake.
 
Angalieni proposed ring road zetu kwny hiyo attachment
Tena nilisahau inakuja kuunganishwa na ile barabara ya kigamboni ni kero sana kuona hatuna hata ring road yoyote iliyokamilika na ukienda kwny bajeti zote huwa zinatengewa pesa japo kiduchu sana, tumezoea kuyakimbia maradhi ambayo mwisho wa siku yanatuumbua na tiba yake inakuwa ngumu sana
 
Back
Top Bottom