tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Mombasa haina maeneo mengine ya kuonyesha?
Hii Mombasa ni sawa na Kinondoni tu
Mombasa haina maeneo mengine ya kuonyesha?
Wewe umekataa kuwa Mandela na Sam Nujoma sio ring roads na nikakuambia uweke ushahidi kuwa hizi barabara sio ring road sasa nataka kujua kwa uelewa wako ring road ni nini?Wewe uko hapa kubishana sio kujielimisha
Kama unajua kusoma na kuandika jielimishe mwenyewe sina huo muda tena
The only difference between Mombasa and Dar is biarati (brt) 😂😂😂
Hebu tuonyedhe hiyo Kinondoni tucheke kidogo nduguMombasa haina maeneo mengine ya kuonyesha?
Hii Mombasa ni sawa na Kinondoni tu
Tembeeni muone expressway mbalimbali acheni kujificha hapo pipeline tuuthis Danganyikan needs a brain transplant
Naweza nikakupangia Mombasa sehemu tofauti mbali na CBD vs Dar.., tofauti ni kidogo sana..., kama Dar kwa sasa hakuna maeneo mengine zaidi ya yale mmeleta humu na what google earth shows..., so?Mombasa haina maeneo mengine ya kuonyesha?
Hii Mombasa ni sawa na Kinondoni tu
Wenzako hawatafurahi na wewe ni hiliNairobi imezidi Dar mi nakubali ,Mombasa imezidi Mwanza
Tatizo lenu ninyi kusema ukweli ni kama mtakufa Yani.Kusema tu Dar imezidi Mombasa unaona utakua msaliti?
Hapa tunaongelea Tz na Kenya.., tuonyeshe ya Tanzania wacha kukwepa.., unatafuta pakutokea kisa umebanwa? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Tembeeni muone expressway mbalimbali acheni kujificha hapo pipeline tuu
We hovyo kweli nimesema na ninarudia kusema sgr expressway iko Dar. Picha ka google mwenyeweHapa tunaongelea Tz na Kenya.., tuonyeshe ya Tanzania wacha kukwepa.., unatafuta pakutokea kisa umebanwa?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
It's hard to believe hapo ni Mombasa. Alafu utaona mtu yupo busy comparing Mombasa and Mwanza when finding such density in Mwanza ni ndoto ambalo halitawahi timika.Mombasa "white and blue" density, from Makupa area..,
View attachment 2425927
SGR imeanza kazi? expressway hakuna Tanzania yoote, Kibaha highway ndio barabara ya maana Tanzania yote, it is just a highway sio expressway na haijafika kiwanngo ya Superhighway., wacha kujitia hamnazo kilaza..., jikubali nyie bado sana., niambie kuhusu BRT kwa sasa.., na cable stayed bridges kwa ajili ya bahari..,We hovyo kweli nimesema na ninarudia kusema sgr expressway iko Dar. Picha ka google mwenyewe
SGR imeanza kazi? expressway hakuna Tanzania yoote, Kibaha highway ndio barabara ya maana Tanzania yote, it is just a highway sio expressway na haijafika kiwanngo ya Superhighway., wacha kujitia hamnazo kilaza..., jikubali nyie bado sana., niambie kuhusu BRT kwa sasa.., na cable stayed bridges kwa ajili ya bahari..,
Achana na huyo kilaza. There's only one expressway in East and Central Africa and it's found in Nairobi. He should be reminded that even Thika road is not an expresswaySGR imeanza kazi? expressway hakuna Tanzania yoote, Kibaha highway ndio barabara ya maana Tanzania yote, it is just a highway sio expressway na haijafika kiwanngo ya Superhighway., wacha kujitia hamnazo kilaza..., jikubali nyie bado sana., niambie kuhusu BRT kwa sasa.., na cable stayed bridges kwa ajili ya bahari..,
Acha kutetea upuzi. UnajiaibishaTembeeni muone expressway mbalimbali acheni kujificha hapo pipeline tuu
Uganda has an expresswayAchana na huyo kilaza. There's only one expressway in East and Central Africa and it's found in Nairobi. He should be reminded that even Thika road is not an expressway
Kazi kweli kweliTanzania nzima. Ila kila mtu kwa mda wake: energy rationing
I lived in Mombasa for some years, ni kubwa sana more than what u see on youtube na internet.,, infact I find CBD yao, yani town area inashinda Nairobi old CBD.., ni ile Mombasa is relatively older.., kile kinafanya Nairobi ikue zaidi ya Mombasa it has more than one CBD well developed na other centers kama akina Eastleigh, Ngara, Kilimani etc.., ukijumuisha itashinda Mombasa, lakini ukubwa wa old CBDs town area coverage, Mombasa takes it.., estates pia Mombasa has very big estates, with town centers., sio mchezo..,It's hard to believe hapo ni Mombasa. Alafu utaona mtu yupo busy comparing Mombasa and Mwanza when finding such density in Mwanza ni ndoto ambalo halitawahi timika.
Kampala -Entebbe pia ni Expressway, Tz iko down...,Achana na huyo kilaza. There's only one expressway in East and Central Africa and it's found in Nairobi. He should be reminded that even Thika road is not an expressway