Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu nyang'au bado anafikiri Dar ni ile ile ya enzi za Mwalimu.
Zuzu ilo, halioni Wakunya humu hawakubali chochote toka Tz lkn yeye anajifanya kukubali vitu kirahisi rahisi tu.

Dar kwa sasa iko mbele ya miji yote ya EA tuna guts za kusema hivyo, tuna infrastructures za kisasa zaidi kuliko miji yote EA, huyu zuzu bado ana historia ya zamani sn.
 
pia south africa ni african superpower lakini pia wao, nchi yao, sehemu kubwa ni jangwa kama vile tu kenya, hivyo wao pia changamoto ni ile ile tunayo yapititia hapa kenya.. kamavile.. ukame/kiangazi ni ile ile, hence mavuno duni, and hence ukosefu wa chakula, maji, livestock deaths due to lack of pasture etc etc..

nb:
infact kuna documentary flani cgtn, ina highlight ukosefu wa maji capetown, hadi wakazi wote wa capetown, tajiri na maskini wanapiga foleni ili kugawiwa angalau ata lita tano5 ya maji kwa siku, na serkali yao. hebu let me.search for that documentary i forward here

hapa, njaa pretoria, gauteng, south africa👇🏽
Screenshot_20221119-120506_Photos.jpg
Screenshot_20221119-120442_Photos.jpg
 
pia south africa ni african superpower lakini pia wao nchi. sehemu kubwa ya nchi yao ni jangawa tu kama kenya, pia na wao wanapitia zile changamoto tunayo hapititia, kqmavile.. ukame, kiangazi, hence mavuno duni, and hence ukosefu wa chakula, maji, livestock pasture etc..

nb:
infact kuna documentary flani cgtn, ina highlight ukosefu wa maji capetown, hadi wakazi wote wa capetown, tajiri na maskini wanakipiga forenoon ili kugawiwa angalau ata lita tano5 ya maji, kwa siku, na serkali yao. hebu u search for that documentary I forward here

hapa, njaa pretoria, gauteng, south africa
View attachment 2425380View attachment 2425382
Mbona husemi Nigeria ndiyo Superpower.
 
Nairobi imezidi Dar kwenye nn be specific usiwe mpumbavu, Dar pia inezidi miji yote ya EA kwenye mambo mengi tu. Usiwe mjinga wa kukubali vitu kirahisi rahisi namna hiyo mjinga wewe.
Kwa heshima sio vyema nikujibu.
Maana swlai lako halina msingi wowote
 
Port an railway station?
emoji3.png
emoji3.png
emoji1787.png
Yea Mombasa port is bigger and better than Dar-es-salaam port, in fact Mombasa port is the second largest port in Sub-saharan Africa only behind Durban port in South Africa.
MSA is also linked with SGR where a ship can directly offload its cargo into a waiting train something that Dar port does not have. This increases efficiency and turn around time for waiting ships hence more cargo transacted.
JamiiForums-264036466.png

JamiiForums481610179.jpeg

Mombasa SGR station is also better bigger and actually serves passengers when compared to your ugly stations
images (10).jpeg
 
Yea Mombasa port is bigger and better than Dar-es-salaam port, in fact Mombasa port is the second largest port in Sub-saharan Africa only behind Durban port in South Africa.
MSA is also linked with SGR where a ship can directly offload its cargo into a waiting train something that Dar port does not have. This increases efficiency and turn around time for waiting ships hence more cargo transacted.
View attachment 2425387

View attachment 2425392

Mombasa SGR station is also better bigger and actually serves passengers when compared to your ugly stations
View attachment 2425399
Mombasa port nafahamu inazidi Dar port,lakini in general embu eleza kwann unahisi Mombasa ni sawa na Dar...
Mimi nna sababu nyingi za kwann Dar ni better than Mombasa put aside port
 
Mombasa port nafahamu inazidi Dar port,lakini in general embu eleza kwann unahisi Mombasa ni sawa na Dar...
Mimi nna sababu nyingi za kwann Dar ni better than Mombasa put aside port
Better infrastructure, yani nikiwa na gari langu ntaenjoy zaidi kuendeshe barabara za Mombasa kushinda za dar.
 
Naona watu wengi wanachanganya EMUs na Locomotive

Electic Mutiple Unit hazijaja bado mpka 2024 zinatoka hyundai

Electric locomotives ndo zinatakiwa zifute hayo mabehewa , Na bado sizioni kama zimekuja

Kwenye sGR line ya Tz hata Disel Locomotives zinaweza kutumika pia regardless but itakuwa haina maana .
Locomotives zinatoka Hyundai wanatakiwa wawe wame deliver order yote by 2024 maana yake ni kwamba watakuwa wana deliver kidogo kidogo mpaka 2024 ndipo watakamilisha idadi yote ya train tulizoagiza.
 
Tunasubiri tuone kaka ., Maana hawajaorder any locomotives from hyo company ya mabehewa, Waliorder tu mabehewa .I thought vichwa vutakuwa vile viwili kutoka Europe but lets wait and see
Vichwa 2 vya Europe vitavuta yale mabugando ya Ujerumani. Hizi zitavutwa na locos toka Hyundai Rotem.
 
Vichwa 2 vya Europe vitavuta yale mabugando ya Ujerumani. Hizi zitavutwa na locos toka Hyundai Rotem.
Bro hadi January mwakani , unahisi kuna kichwa hata kimoja cha rotem kitakuwa kimekuja ? sidhani
 
Back
Top Bottom