Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Attachments

  • Screenshot_20221121-162149.png
    Screenshot_20221121-162149.png
    150.2 KB · Views: 10
Im one of biggest haters wa sa100 na serikal ya sasa ilivyo dhaifu na kwa position niliyonayo naifanya iwe dhaifu zaid😆
Ok. Tuendelee na hoja nyingine.. kweny BUT yako, what is the point ya treni ya Tanzania kuwa coloured yellow?
Ona punguani hili 😂😂.

Sasa wewe unafanya Kazi kwa niaba ya Samia au Nchi? Wewe Ni mpumbavu wa kiwango Cha septic tank..

Good enough Ni kwamba nyie wachache Hakuna mtakachofanikiwa na ombea shetani wako afanye usigundulike..
 
Kila mtu (kwa watanzania) yuko huru kumquote mwenzake na kumkosoa, kama hutaki uko huru kumblock kama nilivyoblock bwana Kivvelu😄.. watanzania ni kawaida yetu kuhojiana sio kama wakenya mtu anajua anasema uongo wenzake wanamkalia kimya.. im just trying understand why kila siku in kila kitu 'but this but that' ? Jack of all trade? Im just curious on that
View attachment 2424554View attachment 2424557
Unasema Watanzania mnapenda kuhojiana wakati unaquestion mwenzako kwa kuquestion vitu unavyoamini. Hivi hujioni mnafiki?
 
Haters mnaitwa na huku Raia Samia anakoupiga Mwingi👇
 

Attachments

  • 20221123_073650.jpg
    20221123_073650.jpg
    152.5 KB · Views: 14
  • wizara_afyatz_1669130045627770.jpg
    wizara_afyatz_1669130045627770.jpg
    119.5 KB · Views: 11
  • wizara_afyatz_1669130045627165.jpg
    wizara_afyatz_1669130045627165.jpg
    137.7 KB · Views: 15
  • wizara_afyatz_1669130045627354.jpg
    wizara_afyatz_1669130045627354.jpg
    65.9 KB · Views: 14
  • wizara_afyatz_1669130045627466.jpg
    wizara_afyatz_1669130045627466.jpg
    95 KB · Views: 11
  • wizara_afyatz_1669130045627803.jpg
    wizara_afyatz_1669130045627803.jpg
    102.7 KB · Views: 14
  • wizara_afyatz_1669130045627185.jpg
    wizara_afyatz_1669130045627185.jpg
    97.3 KB · Views: 14
  • 20221123_144650.jpg
    20221123_144650.jpg
    159.4 KB · Views: 9
Ona punguani hili 😂😂.

Sasa wewe unafanya Kazi kwa niaba ya Samia au Nchi? Wewe Ni mpumbavu wa kiwango Cha septic tank..

Good enough Ni kwamba nyie wachache Hakuna mtakachofanikiwa na ombea shetani wako afanye usigundulike..
Au sio?
Huko shamban mbeya kunaendeleaje? Mwaka huu tutapata mchele wa kutosha wa kuwalisha wakunya?

Wacha sisi wengine tupange madeals yetu na wakubwa ya kuchukua nchi kutoka kwa Sa100😀
20221123_083248.jpg
 
if vetting were conducted today by knightfrank or pricewaterhousecoopers, on a level playing ground..
i swear✋🏽 nairobi would remove dar's pants down... i mean all the way down down...... 🧘🏾‍♀️

nbiView attachment 2423493



darView attachment 2423428
They already did it, tokea 2020 Dar is nothing.., siku hizi hawapendi Knight Frank, eti ina waonea., Nairobi rocks in their reports even ya 2022 we rule!.., Dar ilihara kitambo., slow progress, nchi hafifu.,
 
Bahati mbaya hii, faida kwa Air Tanzania ni ndoto ya alinacha, sasa haya! poleni watanzania, hii biashara iko na wenyewe..,
1669182532940.png
 
Bahati mbaya hii, faida kwa Air Tanzania ni ndoto ya alinacha, sasa haya! poleni watanzania, hii biashara iko na wenyewe..,
View attachment 2424734
Hizo ndege ni brand new, Tz ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza Afrika kuanza kutumia hizo ndege, that means hzo ndege bado zipo kwenye majaribio kama zinazingua zinarudishwa kiwandani kwa gharama za air bus wenyewe, shida iko wapi apo. Punguza wivu wa kike.
 
Hizo ndege ni brand new, Tz ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza Afrika kuanza kutumia hizo ndege, that means hzo ndege bado zipo kwenye majaribio kama zinazingua zinarudishwa kiwandani kwa gharama za air bus wenyewe, shida iko wapi apo. Punguza wivu wa kike.
Inaitwa bahati mbaya.., kila mti mnajaribu kukwea unateleza, poleni sana., mnahitaji kufanyiwa tambiko ili mpone, ama mkubali ile tambiko kuu ya msalaba pale golgotha/Kalvari, hiyo ni tosha, poleni sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hata Kunyaland umeme Ni mgao,South Africa ndio usiseme 👇
We don't have blackouts unnecessarily or power rationing, wacha kulazimisha tufanane, ungefanya uchunguzi, Kenya is not Nigeria or SA ama nyie fukara na bado mna ration stima, kwa lipi? hamuna industries mingi.., tatizo ni nini?..,
 
Back
Top Bottom