Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ore kuwepo na kuchimba ni vitu viwili tofauti. Bado hamjaanza kuchimba mnaitia wawekezaji mpaka sasa. Unafikiri kuchimba ore for steel ni kama unachimba mihogo
Sindio.., very easy to mine, wacha kujitoa ufahamu lazy brain, ama u are just ignorant..,
 
Huu mradi ukiisha patanoga sana, Akili yangu unaniambia lile eneo la nyuma ya Ubungo plaza pamoja na lile eneo la nyuma ya BRT depot panahitaji investment ya makazi au biashara nyumba za biashara Ili kulipa thamani hli eneo since tayari liko na miundombinu yote
hapa ndiyo watanzania tunapofeli, eneo potential sana lakini halina mpangilio limejaa mabanda ya muda. pia eneo la ubungo maji linalopakana na chuo cha maji/UDSM na flyover ya ubungo, eneo potential, miundombinu yote ya msingi yapo lakini limejaa mabanda ya ajabu sana ambayo hayaisaidii serikali kwa chochote
 
Mko hovyo, hauitaji nabii akuonyeshe, liko wazi sana,, ata tukitumia google earth, matako yenu yote yako nje, hayafichiki..., imejiandika kila eneo la taifa, wala usife moyo siku moja mtaamka., vitukuu vyenu vitawaondolea aibu natumai.
Me nilifikiri unaongelea tuko hovyo kwamba tuna njaa year in year out kama nyie, kwamba tunasumbuliwa na magonjwa mpk yale ya aibu kama nyie, kwamba tuna madeni na tunadaiwa na kila nchi kama nyie, kwamba 70% ya wananchi wanaishi kwenye slums kama nyie, kwamba tuna elimu mbovu kama nyie, kwamba tuna ukabila kama nyie, kwamba sisi ni washenzi kama nyie kumbe unaongelea uhovyo wetu kwa kutumia kigezo cha Google earth alafu hyo Google earth yenyewe unaongelea kasehemu kadogo ka Vingunguti, we kweli mbwa
 
Acha upimbi mzigo bado unaendelea kushuka kaa kwa kutulia.

Halafu umeona hapo juu ya roof kulivyo ndio mtajua hamjui mmeuziwa ndazaView attachment 2424948View attachment 2424949View attachment 2424950View attachment 2424951View attachment 2424953
Haya makunya yana roho mbaya sana sio majitu ya kukaa nayo karibu hata kdg, hapo yakiona hivyo yanaumia sn, yalitaka na sisi tupigwe kama yalivyopigwa wao, yanasahau kwamba sisi ni akili kubwa na huwa hatukurupuki, sasa yaendelee kutulia mana mpk ss hayajaelewa inakuwaje mana behewa yalizoona mwezi uliopita sio hizi zilizoletwa, na mpk hapo yanaomba na kusali treni zetu ziwe kama mitungi yao
 
Hauna evidence yoyote , unaamka na kuropoka tu , kama unahisi flightradar ni waongo utakua msee wa mwisho.

A220 2 5H TCL na TCM zina umri wa mwaka mmoja na miezi 2 sasa hivi

TCH na TCI zina umri wa miaka 3

Hamna ndege ya ATC yenye umri zaidi ya 7 years na oldest ni 5H TCB Q400
Screenshot_20220810-211752_Flightradar24.jpg
Screenshot_20220810-211623_Flightradar24.jpg
Screenshot_20220810-211557_Flightradar24.jpg
Screenshot_20220810-211743_Flightradar24.jpg
 
Naona watu wengi wanachanganya EMUs na Locomotive

Electic Mutiple Unit hazijaja bado mpka 2024 zinatoka hyundai

Electric locomotives ndo zinatakiwa zifute hayo mabehewa , Na bado sizioni kama zimekuja

Kwenye sGR line ya Tz hata Disel Locomotives zinaweza kutumika pia regardless but itakuwa haina maana .
 
Hauna evidence yoyote , unaamka na kuropoka tu , kama unahisi flightradar ni waongo utakua msee wa mwisho.

A220 2 5H TCL na TCM zina umri wa mwaka mmoja na miezi 2 sasa hivi

TCH na TCI zina umri wa miaka 3

Hamna ndege ya ATC yenye umri zaidi ya 7 years na oldest ni 5H TCB Q400View attachment 2425201View attachment 2425202View attachment 2425203View attachment 2425204
Huyo Mnuka mavi huwa anaumbuliwa humu kila siku, shida ya makenya ni roho mbaya, linchi lao wameliharibu so wanatafuta nchi ya kufanana nayo.
 
Naona watu wengi wanachanganya EMUs na Locomotive

Electic Mutiple Unit hazijaja bado mpka 2024 zinatoka hyundai

Electric locomotives ndo zinatakiwa zifute hayo mabehewa , Na bado sizioni kama zimekuja

Kwenye sGR line ya Tz hata Disel Locomotives zinaweza kutumika pia regardless but itakuwa haina maana .
Izo loco zinavutwa na kichwa gani kk..?
 
Tunasubiri tuone kaka ., Maana hawajaorder any locomotives from hyo company ya mabehewa, Waliorder tu mabehewa .I thought vichwa vutakuwa vile viwili kutoka Europe but lets wait and see
Mana wanasema zitaanza kazi January
 
Back
Top Bottom