NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,976
Moaja kati ya mavitu ya hovyo Nyerere kayafanya ni huu upumbavu wa Liberation of Southern Africa. Tungesaidi kiaina tu na sio kujitoa mazima at the expenses of our economy and our wellbeing.
Tungekuwa na uchumi mkubwa sana leo kama sio ujinga ule wa Nyerere. Sad, tukiwa kwenye uhitaji kama wao, haito kaa itokee wafanye tuliowafanyia, NEVER.
Hii SADC Wabongolala huwa mmeing'ang'ania Sana yet Wasauzi hawawatambui hata kidogo.






.