ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,902
Bahati mbaya kwao ni kua mm najua mpaka rangi za chupi wanazovaa ndio maana hua wananiogopa sana na wengi wao hawanipendi 😂😂😂Tony alisema siku wakimtibua ataweka hadharani uozo wa Kenya ambao sisi hatuujui, au kaamua kukutupia huu uozo mana sijawahi kuuona huu uchafu ndani ya CBD [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]