Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania humu watakufa kwa presure kwa ajili ya Kilimani., watu wa city moja na CBD kamoja the rest uswazi😂 😂 😂 😂 😂 😝 😝 💪
1666686591807.png
 
Hapo Tanzania hivi kuna Estate inaweza itwa cool kweli?[emoji1787]
Sio Tz tu bali EA hakuna kitu kama hicho na tumeweka ushahidi hapa na imedhihirika hakuna estate kama hiyo. Hiyo Kenya hakuna utulivu, uchafu kila kona, harufu mbaya mbaya mpk Ikulu, utatoa wapi cool estate? Hapa Tz tu hakuna ndiyo itakuwa Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa mahustler wamekimbia uzi baada ya kuona hayawi hayawi yanaenda kutimia mzigo wa electric trains uko majini unaelea na wao walikuwa wanasema tuwaoneshe hata cm moja ya sgr. Kuficha aibu inabidi wasepe mapema tuu.
Subiri vyuma vifike tutawafuata huko huko kwao.
 
Afrika huwa ni nyumba kwanza halafu miundombinu ya barabara ,maji,umeme,afya baadaye inafuata. Kivule, Kisemvule, Matembele ni mbali na mji ,nchi nyingine utakuta hayo maeneo ni mashambani.
Si ndiyo hapo, huyo jamaa kwasabu tuliongelea China akajaribu kuimagine na Kivule, mwehu kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Most definitely .. tena ni cool kuliko hizi takataka zenu zenye hazina hata lami au lami mbovu mbovu 🤣🤣🤣🤣..
Upanga
Osterbey
Masaki

Them all cooler than anything u guys have .. ukibisha twende ground
,ukipata world standard kama hii👇👇 usiogope kuni tag.., mtu bladfwakin kabisaa., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Parklands..
1666689750874.png
 
Hapa Kuna kitu Gani chaajabu we tahira .? 🤣🤣🤣.. heb njoo Dar utoe upumbavu huo
Dar pelekea wa Malawi wewe chief tahira., uwadanganye na hako ka CBD kamoja., kwingine takataka😂😂😂😂😂😂😂
 
Hizi ni hasira na maumivu zimekusukuma utafute historia.., pole sana mtakoma kabisa roundi hii, hifadhi hizi picha kaka uwe unajiliwaza nazo tunapo wapea dose bila huruma la sivyo mtakufa kwa pressure [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lete picha mpya za hayo maeneo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom