Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Kuna chizi moja linalinganisha hii na Kilimani NAIROBI 🤣🤣Hii ni Cape Town?Nyie tuacheni utani hii sio level ya East Africa kabisa ni world class
Kuna chizi moja linalinganisha hii na Kilimani NAIROBI 🤣🤣Hii ni Cape Town?Nyie tuacheni utani hii sio level ya East Africa kabisa ni world class
Sijui umefikiria nn[emoji23][emoji23]Hii ni Kivule wazee, watu wanajenga si mchezo.View attachment 2396812View attachment 2396813View attachment 2396814View attachment 2396815View attachment 2396816View attachment 2396817
Uko mambele ni balaa sana kkNilichelewa sana kaka, kwasasa najaribu kukimbizana na muda nijifunze mambo mengi zaidi,.. duniani kumeendelea vibaya mno .. we are no where close to them, na wala hatuwezi fika maendeleo yao hata kwa miaka 50 ijayo, since tunategemea investments zao uku kwetu
Nawaonesha maana ya dream houses [emoji2515][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui umefikiria nn[emoji23][emoji23]
Cape Town inachapa City nyingi sana za Europe by far, Ata kwa average ni koja ya miji iko vizuri sana dunianiKuna chizi moja linalinganisha hii na Kilimani NAIROBI [emoji1787][emoji1787]
Nmecheka sana,izo House bado sana aisee,angalia hata barabara hamna yani full michanga...Jiji ni infrastructures bana baso tunasafari ndefu kwakweliNawaonesha maana ya dream houses [emoji2515][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naelewa watanzania wengi wenu humu ni kaka zangu, na mko na exposure kubwa, mmeishi,mmesoma au kutembea ulaya na ndio maana hamujihusishi na discussion za kijinga za hawa wapuuzi ..Uko mambele ni balaa sana kk
Mi hua naangalia nachoka tu..
Hapo ni nje kabisa ya jiji, ni nyumba za kawaida ila classic, kiafrika Africa huwezi kusema eti nyumba hizi bado sn labda kama utalinganisha na nyumba za masaki au kwingine classic. Kuhusu mchanga mji ndio unakuwa, huwezi kuita nyumba kama hii eti bado kwa level zetu, utakuwa kichaa wewe.Nmecheka sana,izo House bado sana aisee,angalia hata barabara hamna yani full michanga...Jiji ni infrastructures bana baso tunasafari ndefu kwakweli
Kenya ni chafu sana na haiwezi kubadilika mana sio wastaarabu kabisa hawa jamaa.[emoji23][emoji23][emoji23] jiji kuu la kenyaView attachment 2396861View attachment 2396862
Duh aiseee [emoji2961][emoji2961]Najua hzi hua hawaoneshi [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2396864View attachment 2396865View attachment 2396866View attachment 2396868
Tony alisema siku wakimtibua ataweka hadharani uozo wa Kenya ambao sisi hatuujui, au kaamua kukutupia huu uozo mana sijawahi kuuona huu uchafu ndani ya CBD [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawataonesha ninayo onesha [emoji23][emoji23]
View attachment 2396871View attachment 2396872View attachment 2396873View attachment 2396874
View attachment 2396879
KICC ileeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu niambieni ukweli hzi picha walishawah kuwaonesha [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2396902View attachment 2396903