Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upumbavu mtupu, unanionesha jengo moja alafu useme ni Developed, unaelewa maana ya developed City wewe? Nitajie developed City yoyote duniani ambayo inakosa japo kimoja ya hivi [emoji116][emoji116]

Electrified railway
BRT
Trams au
cable stayed bridges..... Ukinitajia hiyo city naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu hustler akirudi ni tag plz. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kilimani haiwezi toboa hata mbele ya Upanga [emoji116]View attachment 2396631.. umeona Don YF
We uliskia wapi. Toka kwa hio kijiji tembea Jiji kuu Kilimani
438481253.jpg
 
Hapa Mombasa tosha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Onyesha electrified rail, cable stayed bridge narudia usilete picha ya upande upande ya causeway, lete airport terminal ya kisasa, na brt system toka Mombasa tuone kama ulicho andika hapo juu kina ukweli wowote.
 
Zero brain kabisaaa😂😂😂😂😂😂.., haujui unalo zungumzia wewe, umeng'ang'ania aesthetics(muonekano)sasa hiyo ndio definition ya"world class" yaani siku ile utabalehe Kisha upitie post zako, na kuelewa context ya topics utaona ulivyo kua boya, utajidharau sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂 am sure kwa hizi fikra zako utaona China kama ni first world kwa sababu ya their magnificent and ultra modern looking cities with bullet trains zenye Europe haina, uko down kilaza😂😂🤣🤣🤣
Endelea kupiga sarakasi mtu mzima Mpumbavu wewe,🤣🤣🤣 unaweza kueleza in what angle Kilimani is cooler than century city...?🤣🤣🤣
 
No suburb in Dar is a slum can rival Kilimani, Kileleshwa, Riverside or Hurlingham. Apartments za Dar level zao ni kama za Pangani, Ngara, Eastleigh na South C.
Hebu weka picha basi tuone, mana wewe picha zako huwa ni za ukweli hazina make up, unapiga mwenyewe na ni mkenya pekee unayepiga picha kwa mkono wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1070971582_408x306.jpg
tapatalk_1184600122_408x306.jpg
 
Zero brain kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].., haujui unalo zungumzia wewe, umeng'ang'ania aesthetics(muonekano)sasa hiyo ndio definition ya"world class" yaani siku ile utabalehe Kisha upitie post zako, na kuelewa context ya topics utaona ulivyo kua boya, utajidharau sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] am sure kwa hizi fikra zako utaona China kama ni first world kwa sababu ya their magnificent and ultra modern looking cities with bullet trains zenye Europe haina, uko down kilaza[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa kameongea kuhusu bullet train alafu kanasema eti Europe hakuna ili tusiwapige misumari kisa kuna nchi Europe hakuna, mwehu kweli wewe, nimewaambia sio lazima nchi iwe na bullet train ila ni lazima kwa world class city kuwa na electrifitried railway, BRT system au cable stayed bridges kama Dar, kimojawapo lazima kiwepo kama unabisha nitajie World class city ambayo haina kimojawapo hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu hustler akirudi ni tag plz. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kafanya kama hajaona, huwa nawatesa sn na hizo facts, hawapendi sema ndiyo uwezo wa kuwa navyo hawana wanabaki kukausha kama hawajaona, na mm nakaa kdg napiga tena panapouma, sipoi mana wangekuwa navyo wao wangetusumbua sn na midomo yao mipana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuanzia nimekua na Tamaduni za kujifunza kuhusu nini kinaendelea duniani kwenye masuala ya infrastructure hasa China, na ku explore kupitia YouTube baadhi ya miji mikubwa duniani inafananaje, nimejifunza kwanza Africa tuna safari ndefu mnoo .. tusianze kujikweza ndugu zetu wa North jamani, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umechelewa kusanuka kk
 
Umechelewa kusanuka kk
Nilichelewa sana kaka, kwasasa najaribu kukimbizana na muda nijifunze mambo mengi zaidi,.. duniani kumeendelea vibaya mno .. we are no where close to them, na wala hatuwezi fika maendeleo yao hata kwa miaka 50 ijayo, since tunategemea investments zao uku kwetu
 
Hii ni Cape Town?Nyie tuacheni utani hii sio level ya East Africa kabisa ni world class
 
Back
Top Bottom