Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijui lolote kuhusu bandar, lkn kwenye modernization na usimikaj wa mitambo ya kisasa naona bado sana.. au hapo ndo wanaweka vitu vipya?
Naona vitu vimekaa ovyoovyo tu.. kama vile 5S haipo kabsa.

At least hio RORO wameipanga vizur na inapendeza
20221021_213219.jpg
20221021_213244.jpg

Huko kwa watu, mpangilio tu unavutia
Container port
03-Shanghai-container-port-GettyImages-1138634724.jpg
202207301309ec2c9e554ec6829aa1a372dcfeb9_613d617b-cfa3-4ecb-87ad-eb8f2f8f8f50.jpg

Roro
a72ed6e3a34e1715e562a5c6a54d19f7.jpg
shutterstock_1228329946-768x512.jpg
 
Sijui lolote kuhusu bandar, lkn kwenye modernization na usimikaj wa mitambo ya kisasa naona bado sana.. au hapo ndo wanaweka vitu vipya?
Naona vitu vimekaa ovyoovyo tu.. kama vile 5S haipo kabsa.

At least hio RORO wameipanga vizur na inapendeza
View attachment 2394061View attachment 2394062

Huko kwa watu, mpangilio tu unavutia
Container port
View attachment 2394082View attachment 2394083

Roro
View attachment 2394095View attachment 2394097
Kuna vimajengo majengo flani pale bandarini ni vya kitambo alafu vina design mbaya inayokera kwa macho sijui wanangoja nn kuvibomoa, hata station yetu ya SGR inahariwa muonekano kutokana na hivyo vijengo vya mkoloni, wafanye wavibomoe upesi sana, vinakera sn.
 
Kwa kweli, serikali ya CCM pamoja na madhaifu yake yote lakini kiafrika wanajitahidi sana kwenye suala la mipango, amini usiamini haya yote waliyapanga miaka 20 iliyopita.

Kingine wanauwezo wa kujisahihisha, mfano hili suala la dala dala ni serikali ya Nyerere ndiyo iliyolianzisha lakini mpaka kipindi cha kwanza cha Mkapa, ilishaonekana daladala zitakuja kuwa tatizo. Ndipo wakaja na mpango wa BRT. Hata suala la ujenzi holela Dar wanaweza kuwa na mpango wa kulishughulikia.
Nakuunga mkono kwenye kujisahihisha na kwenda na beat la Watanzania. Makazi bora yanawezekana nchi nzima kama Watanzania wataona ni usumbufu kwao.
Sasa hivi wamekaribisha sekta binafsi kwenye mambo ya ujenzi,so ushindani utakuwa mkubwa na kila mmoja atapenda kuonekana ndiye the best.

Viwanja vya 20/20 vimeshapigwa stop ,hivi vilichangia sana kuleta mrundikano wa makazi maana wanakatiana kienyeji na kujenga kiholela makazi yanakuwa duni.

Tanzania nzima kuwa ya kijani inawezekana iwapo watu wanaodeal na ujenzi kuhamasisha watu kujenga huku wakiacha sehemu ya kupanda miti katika kila nyumba. NEMC,NHC,FORESTRY,ARDHI wakiteam up kwa pamoja kuhamasisha upandaji miti ndani ya muda mfupi tunasahau habari za ukame.
 
Kuna vimajengo majengo flani pale bandarini ni vya kitambo alafu vina design mbaya inayokera kwa macho sijui wanangoja nn kuvibomoa, hata station yetu ya SGR inahariwa muonekano kutokana na hivyo vijengo vya mkoloni, wafanye wavibomoe upesi sana, vinakera sn.
Nadhani vipo kwenye ule mpango wa kuondoa majengo yote ya zamani yalichoka na kuboresha ambayo bado yana hali nzuri.
 
Back
Top Bottom