The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Akili kubwa [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Akili kubwa [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hapo Tanzania hivi kuna Estate inaweza itwa cool kweli?🤣🤣🤣🤣🤣 Eti the coolest estate in Afrika 🤣🤣🤣 Unataka tupost coolest estates in Afrika au.? Kama mnaweza toboa hata top ten.. eti number 28 in the world 🤣🤣🤣🤣🤣 Unazungumzia dunia ipi kwanza.? Mbona mnapenda kujipaisha mzee.?
Tanzania inalemewa hadi na Uganda when it comes to neighborhood.Hapo Tanzania hivi kuna Estate inaweza itwa cool kweli?🤣
Failed state at the highest level indeedKunyaland haina tofauti na Iraq, Afghanistan au Nigeria huko Kanu linapokuja suala la Usalama, bandits juzi kati wameteka basi la wanafunzi na kuua wanafunzi, kunyaland ni failed shithole zoo
Tatizo la Mwalimu aliamini katika utu, undugu, umoja na mshikamano, imani ya kuaminiana katika kuijenga Afrika.Moaja kati ya mavitu ya hovyo Nyerere kayafanya ni huu upumbavu wa Liberation of Southern Africa. Tungesaidi kiaina tu na sio kujitoa mazima at the expenses of our economy and our wellbeing.
Tungekuwa na uchumi mkubwa sana leo kama sio ujinga ule wa Nyerere. Sad, tukiwa kwenye uhitaji kama wao, haito kaa itokee wafanye tuliowafanyia, NEVER.
Ila haukuwa kwenye rufutopu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Picha nilipiga jioni jioni giza lilianza kuingia, so namm nikageuka nairobae mzee wa ukungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini ni bora kuliko kuishi kwenye full suti na maghorofa ya udongo yaliyozungukwa na taka, mavi na mikojo.Nmecheka sana,izo House bado sana aisee,angalia hata barabara hamna yani full michanga...Jiji ni infrastructures bana baso tunasafari ndefu kwakweli
Basi hata kama wanajenga hivyo wavipange vieleweke. Nakwambia unakuta septic kaipiga kwenye kibaraza cha mwenzake chemba ikitema harufu yote sebuleni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo kuna hawa watu hawa wenzangu na mimi wa viwanja vya mita 5, hawa ndio huwa wanaharibu mandhari ya eneo kwa kujenga hovyo hovyo. Unakuta kuna mijengo ya adabu na ukiuliza viwanja wameuza hawa wenzangu na mimi alafu wao wanabaki na mita 5 na nyumba zao wanaunga unga, na tatizo sio nyumba kuwa hovyo bali tatizo ni mpangilio wa nyumba zao uko hovyo hovyo.View attachment 2396845View attachment 2396846View attachment 2396847View attachment 2396849View attachment 2396850View attachment 2396852
Afrika huwa ni nyumba kwanza halafu miundombinu ya barabara ,maji,umeme,afya baadaye inafuata. Kivule, Kisemvule, Matembele ni mbali na mji ,nchi nyingine utakuta hayo maeneo ni mashambani.Hapo ni nje kabisa ya jiji, ni nyumba za kawaida ila classic, kiafrika Africa huwezi kusema eti nyumba hizi bado sn labda kama utalinganisha na nyumba za masaki au kwingine classic. Kuhusu mchanga mji ndio unakuwa, huwezi kuita nyumba kama hii eti bado kwa level zetu, utakuwa kichaa wewe.View attachment 2396854View attachment 2396855View attachment 2396857
Ndicho nilichokisema hapo juu political instability inaleta mahusiano mabaya na nchi nyingine.Kimewaka huko twitter [emoji91]
Kenya is a terrorist country [emoji91]
Topic ni hii
Aiseee [emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848]Hzi ndio gari za county ya jiji kuu kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2396900
Hawajawahi ila hiyo ya pili huwa naiona humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu niambieni ukweli hzi picha walishawah kuwaonesha [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2396902View attachment 2396903
Anamaanisha kupanuka kwa mji na ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika kama nimemuelewa vizuri.Kwahyo we hapo ndio unona kumeiva kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]...
We jamaa unaitani sana,Nyumba sio jengo tu ni pamoja na mazingira yanayozunguka pia,Hata kama hakuna paved road basi ndio ushindwe kuboresha mazingira nje ya nyumba? Anyway unaweza usinielewe ni sawa pia
Leta vitu kaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waambie wakatae sasa kua sio nairobi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2396905View attachment 2396906View attachment 2396907
Leo umetuonyesha angle mpya ya jiji la Nairobi. Safisheni mji wenu ni mchafu sana [emoji2955][emoji2955][emoji2955]Waambieni wakatae hapa sio nairobi [emoji23]View attachment 2396909View attachment 2396910View attachment 2396911View attachment 2396912View attachment 2396913View attachment 2396914View attachment 2396915View attachment 2396916View attachment 2396917View attachment 2396918View attachment 2396919View attachment 2396920
Ukiona mtu anatumia matusi kama kinga yake kwenye hoja katika kujibu ujue ameishiwa majibu na kufilisika au ameambiwa ukweli.Mjinga akikoswa hoja hahahahahhaaaaaaa tatizo njaaa wewe
Kwani 7 ukijenga jengo ndio umemaliza kujenga?kuna mazingira nje ya nyumba ndio inafanya mandhari kua nzuri...ilikua ni observation yanguAnamaanisha kupanuka kwa mji na ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika kama nimemuelewa vizuri.
Umeumwa.Mo Dewji kuwa mtanzania mwenye asili ya uhindi na kuwa the only dollar billionaire in the whole EA is where you kunyans draw the line?
Hehehe, mbona hamtambui Delamere kama Mkenya?Huyo MO DEWJI NA BAKHRESA wakunya hawawatambuhi kama ni Watanzania, ila hao wengine asili yao ni Kenya. [emoji23][emoji23][emoji23]