Hii ni Kivule wazee, watu wanajenga si mchezo.View attachment 2396812View attachment 2396813View attachment 2396814View attachment 2396815View attachment 2396816View attachment 2396817
😀😀
Wazir anaendaje huko nje bila Rais kujua au kumtuma. Huyu jamaa akitumbuliwa naona ni haki yake
Hii ndiyo shida niliyoiona alafu bado wanaendelea kujenga hovyo, ofcz hapajajaa lkn unakuta nyumba nyingi ni nzuri na za kisasa lkn hazipo kwenye mpangilio unaotakiwa, hili linakera sn kwakweli na serikali imekaa kimya, hapo kivule ni makazi mapya na watu wanajenga kweli kweli na nyumba kali tu lkn nyingi hazipo katika mpangilio mzuri, inakera sana yn mm inanikera hiyo hali kupita maelezo. Hizi nyumba zingejengwa ktk mpangilio pangependeza mno mno, yani nawaambieni kuna nyumba kali sana sijazipiga picha kwasababu ya giza kuingia lkn tatizo ni lile lile ujenzi kiholela.Kwa nini mpaka sasa watu wana ruhusiwa kujenga bila mpangilio??
Hahahaha Yaani mkuu hiki ni kipimo kwamba hizi nyumba zimekua za kawaida sana Tanzania kiasi cha commentators wengi humu JF wameona ni kitu cha kawaida tena kwa muono wao ni substandard lakini kwa upande wa pili huko kunyaland hizi nyumba hakuna mwenye uwezo wa kurent alieko humu ndani zikiwa huko kwao achilia mbali kuzijenga 😅Hapo ni nje kabisa ya jiji, ni nyumba za kawaida ila classic, kiafrika Africa huwezi kusema eti nyumba hizi bado sn labda kama utalinganisha na nyumba za masaki au kwingine classic. Kuhusu mchanga mji ndio unakuwa, huwezi kuita nyumba kama hii eti bado kwa level zetu, utakuwa kichaa wewe.View attachment 2396854View attachment 2396855View attachment 2396857
Kimewaka huko twitter 🔥
Kenya is a terrorist country 🔥
Topic ni hii
Kenya among the most dangerous countries in the world
Hii Derby ya Kariakoo imepata umaarufu kwa sababu ya support ya wakenya



Naipori hiyo?Oya wakuu hii sasa imepitiliza, hii ni zaidi ya disasterView attachment 2396949View attachment 2396950View attachment 2396951
Kenya ni nchi ya hovyo Sana hapa AfrikaAl shabaab are so free in that failed state,
As if collecting tax was not enough,
They are now giving remarks in mosques all around Kenya.
Where is kdf ?View attachment 2397012
Kivule viwanja bei gani kwa sasa?Hii ndiyo shida niliyoiona alafu bado wanaendelea kujenga hovyo, ofcz hapajajaa lkn unakuta nyumba nyingi ni nzuri na za kisasa lkn hazipo kwenye mpangilio unaotakiwa, hili linakera sn kwakweli na serikali imekaa kimya, hapo kivule ni makazi mapya na watu wanajenga kweli kweli na nyumba kali tu lkn nyingi hazipo katika mpangilio mzuri, inakera sana yn mm inanikera hiyo hali kupita maelezo. Hizi nyumba zingejengwa ktk mpangilio pangependeza mno mno, yani nawaambieni kuna nyumba kali sana sijazipiga picha kwasababu ya giza kuingia lkn tatizo ni lile lile ujenzi kiholela.