Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi sehemu za Nairobi with tree coverage zinaonekana third world country?
View attachment 2396234
View attachment 2396243
View attachment 2396246
Na usisahau Kilimani, the coolest estate in Africa kisha number 28 duniani.., zaidi ya nchi mingi developed.., sisi sio wenzenu wivu isikufanye ujisahau..,
View attachment 2396247
🤣🤣🤣🤣 Eti the coolest estate in Afrika 🤣🤣🤣 Unataka tupost coolest estates in Afrika au.? Kama mnaweza toboa hata top ten.. eti number 28 in the world 🤣🤣🤣🤣🤣 Unazungumzia dunia ipi kwanza.? Mbona mnapenda kujipaisha mzee.?
 
Natumia zote.., infact kwa sasa tangu ifunguliwe hakuna jam chini, Nairobi sio Dar kilaza, kama niko na haraka, nakimbizana na wakati napita juu kama naenda zangu nyumbani jioni napita chini.., hakuna sehemu utapata foleni..., traffic is always moving unless kuna ajali...,
Tunaomba picha yako ukipita juu au chini na uweke uthibitisho, nina wasi wasi na life yako.
 
Kibamba,kwembe,king'azi,kuna jamaa wananunua 20-20 kwa m 4 au 5,iko kiwanja wanakikata mara 4 then wanauza kwa m 1.5 hadi 2,anapata cha juu,king'azi malamba mawili ndio biashara hiyo ya wajinga
Aiseee! Kwa kweli hapa tulipofikia ni pabaya sana.Hivi ndio viwanja vinatanganzwa kuuzwa unajiuliza kwa bei hii vinapatikanaje?

Serikali ipo inawatazama tu siku yakitokea majanga ndipo wanakurupuka. Wanashindwa nini kukomesha huu ujinga?
 
Dar city so far 👇
IMG_20221012_151243_805.jpg
IMG_20221012_151241_042.jpg
img_20221012_151233_513-jpg.2396554
rooftop.. unyama ni mwingi 💥💥.. DAR ileee ..
 
Attachments

  • IMG_20221012_151233_513.jpg
    IMG_20221012_151233_513.jpg
    1.3 MB · Views: 17
🤣🤣🤣🤣 Eti the coolest estate in Afrika 🤣🤣🤣 Unataka tupost coolest estates in Afrika au.? Kama mnaweza toboa hata top ten.. eti number 28 in the world 🤣🤣🤣🤣🤣 Unazungumzia dunia ipi kwanza.? Mbona mnapenda kujipaisha mzee.?
Sio sisi tumejiweka pale kilaza, usitukasirikie bure tafadhali ni dunia imeitambua Kilimani, sisi tulishtukia tu Kenya imetajwa, ni Nairobi ilivyo, zoea dogo sio makosa yetu😂😂😂😂😂😂😂😂, na pia South Africa Cape Town's Sea Point estate, number 38 duniani, 2 in Africa, Kilimani number 1, ila imewauma sana mnaopenda kujitoa ufahamu, yaani kujitia hamnazo hamjambo, ila ukweli mnaujua ni wivu tu na kinyongo imewashika, unatamani ingekue ni Oyster bay imetajwa, zoea😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1666616697336.png

1666616839665.png
 
Sio sisi tumejiweka pale kilaza, usitukasirikie bure tafadhali ni dunia imeitambua Kilimani, sisi tulishtukia tu Kenya imetajwa, ni Nairobi ilivyo, zoea dogo sio makosa yetu😂😂😂😂😂😂😂😂, na pia South Africa Cape Town's Sea Point estate, ila imewauma sana mnaopenda kujitoa ufahamu, yaani kujitia hamnazo hamjambo, ila ukweli mnaujua ni wivu tu na kinyongo imewashika, unatamani ingekue ni Oyster bay imetajwa, zoea😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2396555
View attachment 2396559
🤣🤣🤣🤣 Mzee dunia unaijua wewe .? 🤣🤣🤣.. likija suala la makazi bora na mazuri, hakuna mji wowote Afrika unaweza ingiza pua hata top 100 .. tuliza tako, hizo takataka hata mimi naweza andika. Hii kilimalimani kitu naeza kuona mostly ni vumbi na ugongo mwekundu together with cheap buildings.. kuwa na heshima na dunia kijana .. usitake tupost humu mipicha mingi humu
 
Tunaomba picha yako ukipita juu au chini na uweke uthibitisho, nina wasi wasi na life yako.
Sio lazima uniamini mchawi.., si hitaji kukudhibitishia lolote bana, I am what I am nothing changes, your opinion is yours to keep.
 
🤣🤣🤣🤣 Mzee dunia unaijua wewe .? 🤣🤣🤣.. likija suala la makazi bora na mazuri, hakuna mji wowote Afrika unaweza ingiza pua hata top 100 .. tuliza tako, hizo takataka hata mimi naweza andika. Hii kilimalimani kitu naeza kuona mostly ni vumbi na ugongo mwekundu together with cheap buildings.. kuwa na heshima na dunia kijana .. usitake tupost humu mipicha mingi humu
Umeumia, je ingekua ni Oyster Bay?.., jinyonge nenda ukalilie pia na Sea Point Estate kule Cape Town South Africa, mimi sitakusaidia., jinyonge ukitaka 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sio sisi tumejiweka pale kilaza, usitukasirikie bure tafadhali ni dunia imeitambua Kilimani, sisi tulishtukia tu Kenya imetajwa, ni Nairobi ilivyo, zoea dogo sio makosa yetu😂😂😂😂😂😂😂😂, na pia South Africa Cape Town's Sea Point estate, number 38 duniani, 2 in Africa, Kilimani number 1, ila imewauma sana mnaopenda kujitoa ufahamu, yaani kujitia hamnazo hamjambo, ila ukweli mnaujua ni wivu tu na kinyongo imewashika, unatamani ingekue ni Oyster bay imetajwa, zoea😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2396555
View attachment 2396559
Kwahyo Capetown is behind NAIROBI likija suala la makazi .? 🤣🤣🤣🤣.. dunia simama nishuke.. hivi unajua kwamba Unazungumzia vitu vinavyookana kwa macho.?
 
Umeumia, je ingekua ni Oyster Bay?.., jinyonge nenda ukalilie pia na Sea Point Estate kule Cape Town South Africa, mimi sitakusaidia., jinyonge ukitaka 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Nyie wakenya na wapuuzi wengine, heb karibuni angalau kuwe hii dunia manzee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, kweli uta place miji ya Africa kwenye level za dunia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..
 
Kwahyo Capetown is behind NAIROBI likija suala la makazi .? 🤣🤣🤣🤣.. dunia simama nishuke.. hivi unajua kwamba Unazungumzia vitu vinavyookana kwa macho.?
Ujinga pelekea The best 007 sio mimi dogo, the report picked coolest, kwa vigezo wanazojua wenyewe, wewe jinyonge, mbona unaumwa hivyo? unataka mimi nibadilishe nini? it is what it is, wewe vumilia siku yenyu pia itafika tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂..,
 
Sio lazima uniamini mchawi.., si hitaji kukudhibitishia lolote bana, I am what I am nothing changes, your opinion is yours to keep.
Nina mashaka na wewe mana wanuka mavi tunawajua kwa sifa za kijinga alafu ground hamna kitu
 
Nyie wakenya na wapuuzi wengine, heb karibuni angalau kuwe hii dunia manzee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, kweli uta place miji ya Africa kwenye level za dunia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣..
Dunia sio Tanzania, wacha kujificha nyuma ya Africa jinga type, ni Tanzania kutotajwa ndio inakuuma hapa, Africa has places with world class standards, nimekuambia ujinga niondolee, nenda ukalilie kwa choo, nyambaff😂😂😂😂😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ujinga pelekea The best 007 sio mimi dogo, the report picked coolest, kwa vigezo wanazojua wenyewe, wewe jinyonge, mbona unaumwa hivyo? unataka mimi nibadilishe nini? it is what it is, wewe vumilia siku yenyu pia itafika tu..,
China pekee ina best cities na coolest estate zaidi ya 100.
 
Nina mashaka na wewe mana wanuka mavi tunawajua kwa sifa za kijinga alafu ground hamna kitu
Nyie ndio mna domo domo ,misifa hewa, google earth imewaumbua vibaya, hamna kitu, dunia pia inazidi kuwaumbua mlivyo nyuma.., Kiswahili mingi yet empty, tunawakomesha na facts kisha mnaumwa kweli, hadi raha, mnanyooka mpende msipende😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Dunia sio Tanzania, wacha kujificha nyuma ya Africa jinga type, ni Tanzania kutotajwa ndio inakuuma hapa, Africa has places with world class standards, nimekuambia ujinga niondolee, nenda ukalilie kwa choo, nyambaff
Nani aliyetaja huo uchafu, chanzo cha habari ni kipi, tunawajua wanuka mavi kwa kucheza na mitandao, eti among world's coolest estate, unaumwa Mavi wewe
 
Dunia sio Tanzania, wacha kujificha nyuma ya Africa jinga type, ni Tanzania kutotajwa ndio inakuuma hapa, Africa has places with world class standards, nimekuambia ujinga niondolee, nenda ukalilie kwa choo, nyambaff😂😂😂😂😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hakuna Afrika nchi yoyote yenye Iko na places with world standards except SA, MOROCCO & EGYPT sio kenya.. wait a bit nimemuomba mwanangu yupo hapo Capetown now atume picha ili nikuthibishie kama wewe mwehu ..
 
China pekee ina best cities na coolest estate zaidi ya 100.
ujinga laana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.., tafuta vigezo vilivyo tumika kwa ranking kilaza kisha uje, utaendelea kukua boya hadi lini?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom