Ebu fikiria hiki 5/5 unajenga nini hata kibanda cha mbwa hakitoshi. Wapigwe marufuku kujihusisha na upimaji wa ardhi.
Wizara ya Ardhi iongeze maafisa wake kila Kata awepo Afisa Ardhi itasaidia kuondoa upimaji wa viwanja visivyoeleweka na ujengaji wa hovyo.
Apewe mandate ya kuzuia anayejenga pasipo kupata kibali hasa sehemu ambazo zinamilikiwa na serikali. Kama vile maeneo ya serikali za vijiji.
Wenyeviti wanayageuza miradi yao kuuza bila mipangilio. Au wapewe elimu jinsi ya kupanga miji/kugawa viwanja.