Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westlands na Upperhill.., the new and upcoming business districts in Nairobi, ukiongeza Parklands na Kilimani.., ata kwa miaka mia moja Dar haiwezi fika hapa, la hasha, ni uswazi utaendelea kuongezeka tu
View attachment 2396371
UpperHill Business District..,
View attachment 2396375
View attachment 2396377
Parklands..,
View attachment 2396380
View attachment 2396382
Ngoja tuzione hizo new CBD kwa ukaribu
tapatalk_1184600122_408x306.jpg
tapatalk_1070971582_408x306.jpg
tapatalk_-1587693097_512x288.jpg
Screenshot_20220616-010340.jpg
 
Alafu hii picha ukiangalia ni kwamba wewe ulikuwa kwenye hilo matatu linaloonekana kwenye kioo cha gari hapo, na hiyo shepu ya hilo bus mtu anaweza akakuchambua na akajua wewe ni mtu wa aina gani View attachment 2396161
Hio pic kaitoa huku. Hawa wajinga hawajawah kupiga picha zao wenyew, wanaogopa quality ya camera za simu zao zitawaumbua
 
hio ni nyinyi an LDC.. hatuna tyme na nyinyi.. hamuna hela


but did u knw SautiSoul and H_Art The Band are more famous in SA, Nigeria and Ghana than even your so called DiamondPlatnumz!

if u didn't know.. now u know!
huwezi ata kuficha ujinga wako sekunde mbili?
 
Kuna eneo nililiona huko kibamba,kuna viwanja hadi vya mita 5-5,wenyeviti wa serikali za mitaa wana % wanapata kinapouzwa kiwanja,sasa wao awangaalia mandhari ya mitaa wanaangalia pesa tu
Ebu fikiria hiki 5/5 unajenga nini hata kibanda cha mbwa hakitoshi. Wapigwe marufuku kujihusisha na upimaji wa ardhi.

Wizara ya Ardhi iongeze maafisa wake kila Kata awepo Afisa Ardhi itasaidia kuondoa upimaji wa viwanja visivyoeleweka na ujengaji wa hovyo.

Apewe mandate ya kuzuia anayejenga pasipo kupata kibali hasa sehemu ambazo zinamilikiwa na serikali. Kama vile maeneo ya serikali za vijiji.

Wenyeviti wanayageuza miradi yao kuuza bila mipangilio. Au wapewe elimu jinsi ya kupanga miji/kugawa viwanja.
 
Hata kama hao wenyeviti wa vijiji na mitaa hawana taaluma sahihi ya ardhi bado shida kubwa ipo kwa maafisa ardhi na makamishina!

Kwanini wanatoa hati za umiliki kwa viwanja vidogo? Wakigoma kutoa hati hao wenyeviti hawataweza kuuza. Tatizo ni kutunga sheria/kanuni ambazo hatuwezi kuzisimamia
Hapa labda unazungumzia kwenye miji, halmashauri, Manipaa na Majiji lakini huku vijijini hawa uliowataja sijawahi kuwaona.
 
Wewe Don YF unatumia barabara ipi? Kati ya hiyo ya juu ya wenye Kenya na ya Wakenya??


View attachment 2396401
Natumia zote.., infact kwa sasa tangu ifunguliwe hakuna jam chini, Nairobi sio Dar kilaza, kama niko na haraka, nakimbizana na wakati napita juu kama naenda zangu nyumbani jioni napita chini.., hakuna sehemu utapata foleni..., traffic is always moving unless kuna ajali...,
 
Huu upumbavu wa kukatiana viwanja ndiyo chanzo cha ujenzi wa horera, hasa watu wa kipato cha chini ndiyo mzizi wa huu upuuzi kigezo chao eti hawana kitu ndiyo maana wanajenga hovyo hovyo, mm nilienda Lindi nyumba za udongo ni nyingi lkn zimepangiliwa mpk raha.

Hii tabia inapaswa kukomeshwa kwa gharama yoyote lasivyo tutatengeneza Kibera ndogo huku Tz.
Kabisa kuharibiani miji, kama huwezi kujenga sehemu zilizopimwa nenda kapange. Kuna mambo serikali iache huruma ambazo zinaligharimu taifa. Watu wanajenga hadi kuzibiana njia, mwingine anajenga septic mbele ya mlango wa mwenzie. Huu ni ujinga kabisa kwani ni lazima kila mtu awe na nyumba.?
 
Suluhisho ni dogo tu, nyumba yoyote isijengwe pasipo kibali toka mipango miji, na hawa mipango miji wawepo katika kila ofisi ya serikali ya mtaa. Na wao ndiyo washauri nyumba ijengwe sehemu gn na igeukie wapi, ujenzi wa kihorera bado unaendelea licha ya nyumba zinazojengwa ni very descent.
Hili sijui linawashinda nini mipango miji kila Kata akiwepo Afisa wa ardhi hakutakuwa na huu upuuzi. Tatizo wanawaachia Wenyeviti wa vijiji na Watendaji wa vijiji, hawa ndio wanaharibu.
 
Sa ukitaja Nairobi unaweza kutaja tena 1st World mbele ya iyo sentence?
Kabisa., kwani iko nini , Dar je? ata mbele ya Mombasa ni haya😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom