Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona pia Berlin Germany wako na safari ndefu sana kufikia Dar, pori tupu (kwa akili zako uchwara)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ujinga laana mjukuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so Dar betters Berlin, mtu bladfwakin kabisa humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2396213
View attachment 2396215
View attachment 2396216
Berlin ni Developed City, Ka Nairobi ni underdeveloped City unawezaje ku compare? Haya ngoja tulinganishe sasa.

Hii Picha ya kwanza unayosema ni Berlin unaona kabisa ni conserved area na hairuhusiwi kujenga hapo cz hilo eneo liko strategically na unaweza kuona hata mimea yake ni ya kupandwa na inayotunzwa vyema, ona kijani kimekolea.

Hiyo picha ya pili inaonekana kabisa ya third world country, mimea imejiotea yenyewe hovyo hovyo na haitunzwi pako hovyo sn, ukosefu wa majengo hapo sio kwamba ni kutunza mazingira bali ni hakuna uwezo wa kujenga hapo ila pakipatikana investor wa kujenga utaona maskini wanavyoruka ruka humu kwenye mitandao ya kijamii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_-1134900173_489x327.jpg
tapatalk_-1678350127_510x680.jpg
 
Berlin ni Developed City, Ka Nairobi ni underdeveloped City unawezaje ku compare? Haya ngoja tulinganishe sasa.

Hii Picha ya kwanza unayosema ni Berlin unaona kabisa ni conserved area na hairuhusiwi kujenga hapo cz hilo eneo liko strategically na unaweza kuona hata mimea yake ni ya kupandwa na inayotunzwa vyema, ona kijani kimekolea.

Hiyo picha ya pili inaonekana kabisa ya third world country, mimea imejiotea yenyewe hovyo hovyo na haitunzwi pako hovyo sn, ukosefu wa majengo hapo sio kwamba ni kutunza mazingira bali ni hakuna uwezo wa kujenga hapo ila pakipatikana investor wa kujenga utaona maskini wanavyoruka ruka humu kwenye mitandao ya kijamii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2396225View attachment 2396226
Usijitoe kwa reli, wewe uliona miti ukasema pori, eti Kenya iko na safari ndefu., kwako wewe mji kukuwa na miti sio maendeleo, ushamba tuondolee kilaza.., 😂 😂 😂 😂
 
Na pia usione haya ku post hizi sehemu hapa[emoji116][emoji116][emoji116] ni Mombasa pia, Dar haupati..,
View attachment 2396218
View attachment 2396219
View attachment 2396220
View attachment 2396222
View attachment 2396223
View attachment 2396224
Si niliwaambia mm atakuja na bambuli yenye vijengo viwili vitatu picha inazungushwa zungushwa aongopee watu, sasa nani asiyeijua Mombasa humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usijitoe kwa reli, wewe uliona miti ukasema pori, eti Kenya iko na safari ndefu., kwako wewe mji kukuwa na miti sio maendeleo, ushamba tuondolee kilaza.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unavyoona hapa kuna miti au ni eneo ambalo liko bare? Miti iliyokuwepo hapo ni miwili huko kwengine kote ni vichaka ambavyo waafrika wanakojoa na kunya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_-1678350127_510x680.jpg
 
Suluhisho ni dogo tu, nyumba yoyote isijengwe pasipo kibali toka mipango miji, na hawa mipango miji wawepo katika kila ofisi ya serikali ya mtaa. Na wao ndiyo washauri nyumba ijengwe sehemu gn na igeukie wapi, ujenzi wa kihorera bado unaendelea licha ya nyumba zinazojengwa ni very descent.
Kule kifuru wakazi wa kule wameunda umoja wao,kiwanja kikiuzwa kwenye eneo lazima kamati ya mtaa ijulishwe na itamuuliza mnunuaji aina nyumba,huo umekaa vizuri sana nyumba zake
 
Berlin ni Developed City, Ka Nairobi ni underdeveloped City unawezaje ku compare? Haya ngoja tulinganishe sasa.

Hii Picha ya kwanza unayosema ni Berlin unaona kabisa ni conserved area na hairuhusiwi kujenga hapo cz hilo eneo liko strategically na unaweza kuona hata mimea yake ni ya kupandwa na inayotunzwa vyema, ona kijani kimekolea.

Hiyo picha ya pili inaonekana kabisa ya third world country, mimea imejiotea yenyewe hovyo hovyo na haitunzwi pako hovyo sn, ukosefu wa majengo hapo sio kwamba ni kutunza mazingira bali ni hakuna uwezo wa kujenga hapo ila pakipatikana investor wa kujenga utaona maskini wanavyoruka ruka humu kwenye mitandao ya kijamii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2396225View attachment 2396226
Hizi sehemu za Nairobi with tree coverage zinaonekana third world country?
1666600619794.png

1666600714020.png

1666600782634.png

Na usisahau Kilimani, the coolest estate in Africa kisha number 28 duniani.., zaidi ya nchi mingi developed.., sisi sio wenzenu wivu isikufanye ujisahau..,
1666600802522.png
 
hio ni nyinyi an LDC.. hatuna tyme na nyinyi.. hamuna hela

but did u knw SoutiSoul and H_Art The Band are more famous in SA, Nigeria and Ghana than even your so called DiamondPlatnumz!

if u didn't know.. now u know!
Hahahaha, hahahaha. Sauti soul?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imekuuma sana kilaza [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tanzania hadi dunia inaisha haitawai kutokea..., sio makosa yangu mrogi, ni Kenya ilivyo, zoea mapema usife kwa pressure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The coolest in Africa, 28 in the world #Kilimani
View attachment 2396269
View attachment 2396271
View attachment 2396268
Tafsiri neno cool tofautisha na developed.
 
Utanyooka tu.., Dar kunayo any[emoji116][emoji116] to compare?.., vuta pumzi mchawi, ukweli inauma sana, hauwezi kubadilisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Parklands..,
View attachment 2396288
Hiyo size yake Moshi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
image_downloader_1665771550189.jpg
image_downloader_1665771713051.jpg
image_downloader_1665771529703.jpg
image_downloader_1665771523241.jpg
 
The best 007 unajua maana ya ushuzi kweli? CBD moja tu kisha unabweka bweka humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilaza pumzika tu.., ngoja miaka hamsini mbele kisha uje..., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2396298

Dar..,
View attachment 2396300
The rest 90%...,
View attachment 2396301
View attachment 2396302
Ngoja niweke picha ya juu basi ili uridhike [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221012-224906.jpg
 
It perfectly fits the bill.., Africa has places developed to the same standards na western world, usijitoe ufahamu kilaza[emoji13][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2396315
View attachment 2396318
Upumbavu mtupu, unanionesha jengo moja alafu useme ni Developed, unaelewa maana ya developed City wewe? Nitajie developed City yoyote duniani ambayo inakosa japo kimoja ya hivi [emoji116][emoji116]

Electrified railway
BRT
Trams au
cable stayed bridges..... Ukinitajia hiyo city naondoka jamiiforums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom