Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimani haiwezi toboa hata mbele ya Upanga 👇
moizhusein-20221020-0008.jpg
.. umeona Don YF
 
Mzee mi sio shabiki wala mpiga kelele, nnachokwambia ni ukweli uliowazi .. we endelea kujichetua sasa, kazi kwako
Imekuuma kweli..., je wangetaja Oyster Bay? ungetuharia kwa vichwa humu wewe, ila pole ni zamu ya Kenya kung'aa kupitia Kilimani na mengine mengi u hater go hug an electricity pole😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1666622409906.png

1666622313766.png

1666622456221.png
 
Mzee me sio wa kuokoteza takataka na kujisifu nazo, ninakili timamu mzee 🤣🤣🤣🤣🤣..
Ungekua na akili timamu angalau ungetafuta report then you understand the why of the report by analyzing the criteria used, sio kukurupuka tu kiboya., yaani wewe jamaa ni level ya vijiweni, liboya kweli kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Ungekua na akili timamu angalau ungetafuta report then you understand the why of the report by analyzing the criteria used, sio kukurupuka tu kiboya., yaani wewe jamaa ni level ya vijiweni, liboya kweli kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣. Kweli na discuss na tahira likinizidi umri 🤣🤣🤣🤣🤣.. leta criteria mzee .. taarifa si ulipost wewe.?
 
🤣🤣🤣🤣🤣. Kweli na discuss na tahira likinizidi umri 🤣🤣🤣🤣🤣.. leta criteria mzee .. taarifa si ulipost wewe.?
Wewe ndio definition ya tahira, yaani haujijui dogo? pumzika tu bana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Nabishana na tahira lililonizidi umri kumbe 🤣🤣🤣🤣

Nenda ukapingane na hii taarifa, unaelekeza hasira zako pasipo.., yaani wewe ni tahira, boya, bladfwakin, semi-illitrate, mkwara, zezeta zote combined, haupati lolote, upo upo tu kishenzi na unajikaza kupingana, fyata na upotelee mbali😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
1666623404264.png

1666623416543.png
 
Ebu weka ya Tanzania tuone any coming close? maana ya neno coolest haujui, vigezo haujui, unakurupuka tu.., jinga type..,nenda ukatafute Kibera u post humu ujiliwaze bana, roho itatulia kidogo hauna point wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya nzima inakaa Kibera, ni matakataka na mauchafu kila kona[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_-1210410374_500x333.jpg
tapatalk_219998365_360x480.jpg
tapatalk_-2093751798_680x453.jpg
tapatalk_2136134967_253x450.jpg
Screenshot_20220910-191147.jpg
tapatalk_1184600122_408x306.jpg
tapatalk_-543432963_512x288.jpg
image_downloader_1662806169973.jpg
Screenshot_20220907-185249.jpg
 
Ungekua na akili timamu angalau ungetafuta report then you understand the why of the report by analyzing the criteria used, sio kukurupuka tu kiboya., yaani wewe jamaa ni level ya vijiweni, liboya kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona hujiamini? Weka hizo criteria unaogopa nn sasa, mmekaa huko na vi article vyenu uchwara zen mnakuja kuviweka humu mnasahau sisi tunaijua Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa umempiga huyu Don YF na ile ngumi maarufu ya jamaa yetu Mandonga aina ya ndoige.
Tanzania city ni moja Dar.., Mwanza ni mji wa kishamba niliyo ifumania nje ndani hainitatizi, hizo clips meenzako amepost kiushabiki wewe umezi watch?. eti ufananishe na Mombasa.., hiyo linganisha na Dodoma zenu kuleee.., level zenu ni duni sana, kama mtu anataja Mwanza kama city 🤣🤣
 
Back
Top Bottom