Amari
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 974
- 2,144
Hata kama hao wenyeviti wa vijiji na mitaa hawana taaluma sahihi ya ardhi bado shida kubwa ipo kwa maafisa ardhi na makamishina!Serikali inatakiwa kuwa serious na hili jambo lasivyo wenyeviti watavuruga miji inayochipukia, halafu hawa wenyeviti wana utaalamu gani wa kupima ardhi?
Kwanini wanatoa hati za umiliki kwa viwanja vidogo? Wakigoma kutoa hati hao wenyeviti hawataweza kuuza. Tatizo ni kutunga sheria/kanuni ambazo hatuwezi kuzisimamia