Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza ❤️❤️ over 20km from city center
582BC23C-1213-4987-BDAC-3C3CA75E5D1B.jpeg
51AB5EA3-9EE1-4DAD-A2B3-FCD147136A4A.jpeg
5B096B75-3681-43F7-9608-1DD109B46A15.jpeg
 
Himars sio Air defence system, hiyo yetu hapo ni Surface to Air missiles kwa akili ya kudungua vile vdege vyenu chakavu F-5 vikijaribu kuingia katika anga yetu[emoji23][emoji23]
aah wapi!
tanzanian airspace ni kama tu pit latrine.. yaani, unarusha kombora lako, kisha unaipa mmda wa sekunde kadhaa ilikuskia jinsi kombora lako litakavyo tua kwenye ground!!...
yani, 💣💣💣................................. 💥! duuup!!
🤣🤣🤣🤣

hivi kusema, anga ya tanganyika ipo huru kabisa kama latrine..
no defensive mechanism of any kind whatsoever..😆😆😆
 
aah wapi!
tanzanian airspace ni kama tu pit latrine.. yaani, unarusha tu kombora lako, kisha unaipa muda wa sekunde kadhaa ilikusikia jinsi kombora lako litadunda kwenye ground...
yani 💣💣💣................................. 💥
🤣🤣🤣🤣

yani anga ya tanganyika iko huru kabisa kama latrine.. no defensive mechanism of any kind whatsoever..😆😆😆
Chuma hizi Apo👇
IMG_1056.JPG
2(4).JPG
 
Mimi sio mwanasheria maswali yako siwezi kuyajibu.
Lengo langu ni kutaka kuonyesha kwamba tusikubali kucheza miziki ambayo hatujui maana yake. Huu wimbo wa katiba mpya ni wimbo wa wanasiasa ambao wanashindwa kupambana ili kufikia malengo Yao, wanajaribu kutapatapa na kujaribu kuhalalisha kushindwa kwao wakisingizia katiba, ndicho kilichomkuta Raila huko Kenya.
 
Mv mwanza hapa kazi tu

Render View attachment 2395910



Real 73% now

View attachment 2395911
Kama render mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91]

Waambie wakuoneshe render ya Mv kutu au walikurupuka tu baada ya kuona Tz inajenga meli nao wakaamua kununua skrepa wakalisafirisha usiku usiku eti nao wanajenga meli, meli gn ujenzi wake haujulikani alafu miezi miwili tayari imeisha, jamaa wababaishaji sn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huu upumbavu wa kukatiana viwanja ndiyo chanzo cha ujenzi wa horera, hasa watu wa kipato cha chini ndiyo mzizi wa huu upuuzi kigezo chao eti hawana kitu ndiyo maana wanajenga hovyo hovyo, mm nilienda Lindi nyumba za udongo ni nyingi lkn zimepangiliwa mpk raha.

Hii tabia inapaswa kukomeshwa kwa gharama yoyote lasivyo tutatengeneza Kibera ndogo huku Tz.
Serikali inabidi ikomalie sana hili jambo
 
Huu upumbavu wa kukatiana viwanja ndiyo chanzo cha ujenzi wa horera, hasa watu wa kipato cha chini ndiyo mzizi wa huu upuuzi kigezo chao eti hawana kitu ndiyo maana wanajenga hovyo hovyo, mm nilienda Lindi nyumba za udongo ni nyingi lkn zimepangiliwa mpk raha.

Hii tabia inapaswa kukomeshwa kwa gharama yoyote lasivyo tutatengeneza Kibera ndogo huku Tz.
Asa unakuta mwenyekiti wa kijiji darasa la nne anaakili gani ya kujua planning? Kama wanaimpact wawe wamesoma walau hata cheti na walipwe mishahara kabisa tuone kama hawatakua serious...tofauti na hapo tusitegemee maajabu sana kwanza hawana mishahara
 
Mwanza "village" city.., hii bado haijafika kuitwa city.., Tanzania ni Dar pekee ndio city with one CBD.., mengine ni hekaya za abunuasi, Tanzania city ni moja na tusisumbuane ni jumatatu asubuhi😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom