Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20221024-093504.jpg
 
Marehem John Kijazi, Allan Kijazi (KM Ardhi) na Agnes Kijazi (MD TMA) ni mtu na wadogo zake. Kuna harus ya mtoto wa Marehem John niliendaga walitambulishwa wote
Hata ukiacha hao wanaojulikana kuna wengine huwa wanapita pale JNIA wanaelekea Dodoma wana nyadhifa mbalimbali, hii ndio inaitwa favouritism ss.
 
japo tanganyika kuna wasanii wengi wazuri tu, kama vile zuchu ama nnandi, ila bado saaana...
hadhi zao hazijafika worldclass standards kwenye r&b genre kama baadhi ya wasanii wakikenya ama SA

Zahara Loliwe from SA ni moja wepo, ama ata huyu mkenya Nikita

nikita chebet from karen, nairobi 👇🏽




zahara loliwe from somerset west, capetown
 
Alafu hii picha ukiangalia ni kwamba wewe ulikuwa kwenye hilo matatu linaloonekana kwenye kioo cha gari hapo, na hiyo shepu ya hilo bus mtu anaweza akakuchambua na akajua wewe ni mtu wa aina gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2396161
...picha sio ya mwenye ku post, ni courtesy ya "ma3route.com kilaza, kukurupuka hujambo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
hio ni nyinyi an LDC.. hatuna tyme na nyinyi..


but did u knw SoutiSoul and H_Art The Band are more famous in SA, Nigeria and Ghana than even your so called DiamondPlatnumz!

if u didn't know.. now u know!
Hao wasanii au wanamuziki wenu wamewahi kushinda tunzo gn Africa hebu tuambie alafu na mm nikuletee orodha ya wanamuziki wetu walioshinda tunzo mbalimbali hapa Africa na duniani kwa ujumla.
 
Lishamba, ukiona miti unadhani pori, wewe ni mtu bladfwakin kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnasafari ndefu sana.
 
Kuna wazimu mmoja alisikika akiitaja kaMwanza kwa sentensi moja na Mombasa eti?.., ukichaa huo [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2396202
View attachment 2396203
View attachment 2396204
View attachment 2396205
View attachment 2396192
Mombasa hii yenye nyumba nyingi za udongo au kuna nyingine, angalia hii wala sio ya udongo lkn dizain yake sasa, Kenya bhn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_16658284118332066.jpg
 
Back
Top Bottom