Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iyo ni katiba yao sisi yetu tunataka nao wawajibike wakifanya tofauti na utaratibu
Katiba bila watu/viongozi waliopo tayari kuitii na kuitekeleza ni sawa na kuwepo kwa vitabu vya dini vinavyokataza Mambo mabaya lakini kila siku tunazidi kuyatenda, wakiwemo hao hao viongozi wa dini ambao wanapaswa kulinda na kusimamia maelekezo ya Mungu. Kwani Magufuli alivyokataza mikutano ya vyama vya siasa kinyume na katiba ya Sasa, nani alithubutu kumpinga?.

Hiyo katiba mpya itakua na kipi kipya cha kuweza kujisimamia yenyewe ili isiweze kusirigwa na vyombo vya Dola na viongozi waliopo madarakani?
 
American MLRS M142 Himars, masera wangu. Hizi ndo inampa putin sleepless nights kila kukicha.. yaani 100% precision accuracy!

Made In USA.. a Nato Armoured Vehicle..
Ukraine War Model, Himars Self Propelled Armoured Vehicle View attachment 2395487View attachment 2395488View attachment 2395489

American MLRS M142 Himars Armoured Vehicle in action in the current ukraine-russian wars, mchizi wangu

a Nato Model, German Tanks hapaView attachment 2395490View attachment 2395491View attachment 2395494View attachment 2395495View attachment 2395496View attachment 2395497
Himars sio Air defence system, hiyo yetu hapo ni Surface to Air missiles kwa akili ya kudungua vile vdege vyenu chakavu F-5 vikijaribu kuingia katika anga yetu
 
American MLRS M142 Himars, masera wangu. Hizi ndo inampa putin sleepless nights kila kukicha.. yaani 100% precision accuracy!

Made In USA.. a Nato Armoured Vehicle..
Ukraine War Model, Himars Self Propelled Armoured Vehicle View attachment 2395487View attachment 2395488View attachment 2395489

American MLRS M142 Himars Armoured Vehicle in action in the current ukraine-russian wars, mchizi wangu

a Nato Model, German Tanks hapaView attachment 2395490View attachment 2395491View attachment 2395494View attachment 2395495View attachment 2395496View attachment 2395497
Hayo yakwenu hapo uliyoonyesha ndio nini?, Toeni upuuzi wenu huu
 
Huwezi kuamini kwamba iyo gatundu ni moja ya maeneo yanayoilisha kenya ni kama vile mkazi wa mbeya au morogoro alalamike eti kuna njaa kwa kifupi nyumbani kwa kenyatta kuna njaa

Iyo gatundu ni kama km 50 tuu kutoka nairobi kwaiyo sio sehemu kame sasa unashindwa shida nn wazee wa gdp ya mchongo
Ndio richest tribe in Africa according to mkunya mmoja alikua na list ya richest tribes 😅😅😅😅
 
Dar pia ziko toys expensive ,1st frame ni toys za Diamond platinumz
dia4.jpg
2.jpg
JamiiForums-448892283.jpg
20221023_195602.jpg
 
Katiba bila watu/viongozi waliopo tayari kuitii na kuitekeleza ni sawa na kuwepo kwa vitabu vya dini vinavyokataza Mambo mabaya lakini kila siku tunazidi kuyatenda, wakiwemo hao hao viongozi wa dini ambao wanapaswa kulinda na kusimamia maelekezo ya Mungu. Kwani Magufuli alivyokataza mikutano ya vyama vya siasa kinyume na katiba ya Sasa, nani alithubutu kumpinga?.

Hiyo katiba mpya itakua na kipi kipya cha kuweza kujisimamia yenye ili isiweze kusirigwa na vyombo vya Dola na viongozi waliopo madarakani?
Mimi sio mwanasheria maswali yako siwezi kuyajibu.
 
Barabara zenu zina humps iyo bugatti yenye low ground clearance inapita wapi?
Ni wakati sasa tuondoe matuta na Rasta kwenye barabara zetu
So barabara za Danganyika hazina bumps? As far as I know Tanzania has worser roads than Kenya in all aspects

Katiba bila watu/viongozi waliopo tayari kuitii na kuitekeleza ni sawa na kuwepo kwa vitabu vya dini vinavyokataza Mambo mabaya lakini kila siku tunazidi kuyatenda, wakiwemo hao hao viongozi wa dini ambao wanapaswa kulinda na kusimamia maelekezo ya Mungu. Kwani Magufuli alivyokataza mikutano ya vyama vya siasa kinyume na katiba ya Sasa, nani alithubutu kumpinga?.

Hiyo katiba mpya itakua na kipi kipya cha kuweza kujisimamia yenyewe ili isiweze kusirigwa na vyombo vya Dola na viongozi waliopo madarakani?
Nilishasema katiba mpya bila kuwa na viongozi wazalendo, kizazi chenye maadili mazuri, nchi na dola kutozingatia haki na matakwa ya wananchi ni sawa na kutangaza amani huku umeficha panga kiunoni.
 
abit of language correction here👇🏽 dude......

sio eti "akakufa" bali ungesema "akafa"

kwani wee ni mbongo wa pembe gani? chitoholi ama?🤔

Nb:
everyone knew Chris kirubi was worth $300m up until his demise..
nobody here, ever said kirubi was a dollar billionare! non at all..
We nae hujui kwamba Watiz tunacheza na lugha
 
Kwa kweli, serikali ya CCM pamoja na madhaifu yake yote lakini kiafrika wanajitahidi sana kwenye suala la mipango, amini usiamini haya yote waliyapanga miaka 20 iliyopita.

Kingine wanauwezo wa kujisahihisha, mfano hili suala la dala dala ni serikali ya Nyerere ndiyo iliyolianzisha lakini mpaka kipindi cha kwanza cha Mkapa, ilishaonekana daladala zitakuja kuwa tatizo. Ndipo wakaja na mpango wa BRT. Hata suala la ujenzi holela Dar wanaweza kuwa na mpango wa kulishughulikia.
Naona wamepiga marufuku uuzaji wa viwanja vya makazi vilivyo chini ya mita 20-20 ila kuna baadhi ya miji mipya huko wenyeviti wa serikali za mitaa awaelewi kabisa bado wanaidhinisha huo ujinga
 
Naona wamepiga marufuku uuzaji wa viwanja vya makazi vilivyo chini ya mita 20-20 ila kuna baadhi ya miji mipya huko wenyekiti wa serikali za mitaa awaelewi kabisa bado wanaidhinisha huo ujinga
Serikali inatakiwa kuwa serious na hili jambo lasivyo wenyeviti watavuruga miji inayochipukia, halafu hawa wenyeviti wana utaalamu gani wa kupima ardhi?
 
Kuna eneo nililiona huko kibamba,kuna viwanja hadi vya mita 5-5,wenyeviti wa serikali za mitaa wana % wanapata kinapouzwa kiwanja,sasa wao awangaalia mandhari ya mitaa wanaangalia pesa tu
Serikali inatakiwa kuwa serious na hili jambo lasivyo wenyeviti watavuruga miji inayochipukia, halafu hawa wenyeviti wana utaalamu gani wa kupima ardhi?
 
Back
Top Bottom