Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Yet barabara zenu za boda kuja Tz kwa upande wenu ni vumbi tu 50 km mpaka watu wenu wake tz ndio waone lami.. 🤣 paper tigerTotal paved road
Kenya - 22,000km
Tanzania - 13,000km
Yet barabara zenu za boda kuja Tz kwa upande wenu ni vumbi tu 50 km mpaka watu wenu wake tz ndio waone lami.. 🤣 paper tigerTotal paved road
Kenya - 22,000km
Tanzania - 13,000km
Ila wewe huwa unafurahisha [emoji1787][emoji1787] cement inayotumika kujenga Bwawa la Nyerere, 5 phases of our SGR .. concrete roads za BRT na njia nyingine za kawaida, ni zaidi ya cement consumption yenu ya nchi nzima since cement mnatumia kujengea nyumba tu uko kwenu..
[emoji3][emoji3][emoji3]kamata mtu hapo.Another one
Huku mbwinde kiluvya kuna majirani zangu kama 7 hivi wote wana ng'ombe na wanauza maziwa na bado uwa wanananishauri na mimi nifuge ng'ombe wa maziwa,maana bado hawatoshelezi matumizi ya uhitaji wa maziwa mtaani,hii inaonyesha ni namna gani wa TZ tunavyokunywa maziwa kwa wingiWengine huwa wanasema wametushinda kwenye kunywa maziwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati nanunua maziwa mitaani na serikali haina habari kuwa nimemunua maziwa mitaani.
Labda wametushinda kwenye maziwa ya unga.
Also him 2022 👇. Skiliza mziki mzuri+ kutazama music video kali zaidi AFrica 2022
Mokasini siyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo TV tu inanunua lab furniture container 8000 kwa yule mkulungwa mwenye moka yake [emoji23]
Kaka umesahau yale maghorofa yao ya udongo yanayodondokaga kila mara ndio yanayoconsume cement nyingi maana ratio ya cement na udongo inatumika mara nyingi zaidi sababu ya frequent ya kuanguka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu tuambie mnajenga kitu gani ili tuamini mnatukaribia kwenye matumizi ya cement, sisi tunajenga JNHPP, tunajenga Dodoma city, tunajenga Msalato airport, tunajenga BRT system, tunajenga kigongo busisi one of the longest bridge in Africa, tunajenga bridges kibao, tunajenga bandari zote kubwa nchi hii, tunajenga the longest SGR in Africa, nyie mnajenga nn cha kuweza kushindana na hizo infrastructures nilizokutajia hebu tuambie ili tujue ile takwimu ni ya uongo. Ubishani mwingine ni wa kitoto sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usijali men ni watanzania tu wanahela sisi tumekuja kuwasindikizaWao wanakazana kutupia picha za watu na mali zao ukimwambia aweke picha zake anaweka nyumba ya boss wake, mwingine akaweka nyumba ya shangazi, mmoja ndiyo aliua kabisa yani akanyea kambi kabisa kwa kuweka guest [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya mafukara sn aloo.
2019 mseeTanzania ya 90s [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
October 2019Lini?
Our first concrete road was built around 1998 when odinga was minister of roadsNdani ya kenya kuna hata 10 km za concrete road.? [emoji1787]
You are very stupid!The number of Tanzanian beggars and drug traffickers in Johannesburg prisons.
View attachment 2366987
Wee kamatana tu[emoji1787][emoji1787] 26 october, 2019 angalia what happened at korogweNgoja nimkamate mwizi [emoji28][emoji28][emoji28]
Wale umaskini umezidi sana. Wale ni zaidi ya Kenya kwa umaskini. Wanaidadi kubwa ya Punda na sio ng'ombe wala mbuzi. In Ethiopia, kuna mpaka ambulance za Punda. Ni Usafiri wa watu na mizigo kama huko Lamu kwa maskini wenzao.Ila bado Ethiopia wapo mbele yetu mkuu kwa idadi ya mifugo.