Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es salaam Serena.

IMG_1896.jpg
 
Wengine huwa wanasema wametushinda kwenye kunywa maziwa
Wakati nanunua maziwa mitaani na serikali haina habari kuwa nimemunua maziwa mitaani.
Labda wametushinda kwenye maziwa ya unga.
Hii nchi iko mbali sn nawaambia sema tu shida ni kwamba kuna majitu ni mazembe sn na bado yanaachwa ofisini, serikalini kumejaa wazembe aisee, kuna takwimu nyingi huwa zinawekwa nasema hiiiiii, kama hii nchi ingekuwa ya hovyo kama Kenya na the likes of that shit country mm nawaambia wageni wasingekuwa wanafosi kuweka kambi hapa kwetu.

Tazama hapa EA ni nchi gn ambayo wana EA wanapenda kuikimbilia kama sio Tz, yn raia wa nchi zote ukanda huu ndoto zao kama co kwenda ulaya basi ni kuja Tz na wakija hawataki kuondoka.
 
Hello ladies and gentlemen. Today I want to expose the lies, Tanzanian economic updated figures are out. My fellow Kenyans, come and see how Tanzanians want to deny their govt report.

The Front Page
View attachment 2366620
Which lies? 😂😂 we have been posting the same data here.. so leo umekubali barabara zetu ni 13,000 kms sio 9,000 kms tena?🤣
Naweza kukuletea screenshots humu ukipinga hatuja vuka 12,000 ila leo umekubal tuna 13,000kms
 
Which lies? we have been posting the same data here.. so leo umekubali barabara zetu ni 13,000 kms sio 9,000 kms tena?
Naweza kukuletea screenshots humu ukipinga hatuja vuka 12,000 ila leo umekubal tuna 13,000kms
Alafu kenyewe kamejiwekea 22,000km

Kiukweli kabisa Kenya ikifika 9,000km nafunga accnt jf, Kenya hii hii ambayo kuna county gari zinatembea siku mbili kufika ndio ifikishe japo 10,000km of paved road?

Wao waendelee na number za kwenye karatasi hivyo hivyo wkt cc tunazidi kujenga nchi iliyo kweli.
 
Back
Top Bottom