Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii video iko poa zaidi! hii vid ilimkarimu hela mgapi!??🤔🤔
hii video ni kali zaidi!🔥 hii vid ilimgharimu hela mgapi!??🤔🤔 ajaribu tu kuimprove kwa content.. hio tu! othrws ako fyne. ni kijana anajituma sana.. huyu ndo amefanya watu wajue kua, umaskini ni shida ya kujitakia
Diamond is always doing the best 👇. Ingine hii 2022
 
Ukishazidiwa gdp umezidiwa mambo mengi sana ya kiuchumi, kwanamna nilivyofuatilia real estate kenya is so diverse sishangai wakituzidi matumizi ya cement.Lakini TZ Tunamiradi yetu mingi ambayo inatumia cement nyingi Kulingana na Uchumi wetu unavyoruhusu
Wacha kuwa mjinga Bro, hata sie Tz tunajenga nyumba (individually) tena kwa kiwango kikubwa sana, and still tuko na miradi mikubwa mingi mno yenye thamani zaidi ya miradi yote EA .. kwa kinachoonekana ground ni clear kabisa that our cement consumption is at least two times to theirs.. hasa kwa kipindi Kati ya 2017-2022.. kuna miradi mikubwa mingi sisi tumejenga hiv karibuni tu .. kwa hili Bro 🤣🤣🤣 kaa kando
 
Magu had vision...
photostudio_1664048640001.jpg
 
Leo nimezunguka kwenye baadhi ya mitaa ya Kariakoo. Yo kuna ujenzi wa gorofa mpya kama thelasini hivi (gorofa nilizozihesabu)
Hiyo kitambo sana niliizungumza mkuu kwamba tutarajie picha mpya za kushangaza za Kariakoo, ujenzi mkubwa unaendelea pale, ghorofa nyingi mno kupita maelezo, hakuna mji hapa EA na miji kibao ya Afrika utakaribia Kariakoo kwa maghorofa.
 
For sure .. hata magomeni kuna gorofa nyingi tu zinajengwa mpya
 
You will continue making noise as I hit you with facts[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Kenya Cement consumption for six months
View attachment 2366933

Tanzania Cement consumption for 12 months

View attachment 2366937
Mm naomba mniambie mnajenga nn cha kuweza kushindana na Tz usinipe makaratasi mana hivyo vikaratasi ambavyo haviko certified huwa mnavitengeneza wenyewe wasenge nyie, nmeorodhesha miradi mikubwa tunayofanya ambayo ni dhambi kujilinganisha na nyie, na ww niambie mnajenga nn ili tuamini ile report ni ya uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukishazidiwa gdp umezidiwa mambo mengi sana ya kiuchumi, kwanamna nilivyofuatilia real estate kenya is so diverse sishangai wakituzidi matumizi ya cement.Lakini TZ Tunamiradi yetu mingi ambayo inatumia cement nyingi Kulingana na Uchumi wetu unavyoruhusu
Yani miradi yote tunayofanya lkn bado umekazana na paper GDP, ngoja nikupe mfano mmoja, niambie kati ya China na US nani mwenye GDP kubwa na nani mwenye cement consumption kubwa?
Screenshot_20220925-004223.jpg
tapatalk_-377208606_305x512.jpg
 
Our first concrete road was built around 1998 when odinga was minister of roads
i remember in 2003, when Raila was the Minister for Public Works, when commissioning the Narok-Mai Mahiu road. he said tht, "...from now henceforth, all roads in kenya must be Concrete Base Roads, which has a lifespan of 30yrs compared with Gravel and Bitumen-Only roads which has a lifespan of less than 20yrs"

so eversince then, all current highways and roads in kenya under KenHa and Kura authorities has been made of "Water-Proofing Cement" on the Road-Base Layer ie.(Road Foundation) and Sub-Base Layer ie(the deepest layer).. its only the Waring-Course ie(top most layer), that is finished with Asphalt/Bitumen tht is mixed with Course Aggregate Ballast-½Inch Sieve Diameter

All these kenyan Roads and Highways u happen to see here everyday has a base/foundation that is constructed using Cement Impregated with Waterproofing Formulae..

all these Roads and Highways are Concrete Base Roads.....👇🏽👇🏽
20220608_140715.jpg
20220608_140456.jpg
20220428_111258.jpg
20220608_141321.jpg
 
i remember in 2003, when Raila was the Minister for Public Works, when commissioning the Narok-Mai Mahiu road. he said tht, "...from now henceforth, all roads in kenya must be ConcreteBasedRoads, which has a lifespan of 30yrs compared with Bitumen-Only roads which has a lifespan of less than 20yrs"

so eversince then, all current kenyan highways and roads under KenHa and Kura authority has been made of "Water-Proofing Cement" on the RoadBaseLayer ie.(Road Foundation) and BaseCourseLayer ie(2nd top most layer).. its only the Waring-Course ie(top most layer), that is finished with Asphalt/Bitumen tht is mixed with CourseAggregateBallast-½Inch Sieve Diameter

All these kenyan Roads and Highways u happen to see here everyday has a base/foundation that is constructed using Cement Impregated with Waterproofing Formulae..

all these Roads and Highways are Concrete Based Roads.....👇🏽👇🏽
View attachment 2367205View attachment 2367204View attachment 2367196View attachment 2367197View attachment 2367200View attachment 2367202View attachment 2367203
Hiz sio concrete roads manzee labda hujui concrete roads zinafananeje.! 🤣🤣🤣
 
Hiz sio concrete roads manzee labda hujui concrete roads zinafananeje.! 🤣🤣🤣
sija sema Conrete Roads, nimesema Concrete Base Roads..

these are "Flexible Concrete Base Pavements", otherwise "Rigid Concrete Pavements", utaipata kwenye Bridges ama Heavy Track Parking Lots coz they are rigid and hardwaring.. mm ni engineer maze
 
Ukishazidiwa gdp umezidiwa mambo mengi sana ya kiuchumi, kwanamna nilivyofuatilia real estate kenya is so diverse sishangai wakituzidi matumizi ya cement.Lakini TZ Tunamiradi yetu mingi ambayo inatumia cement nyingi Kulingana na Uchumi wetu unavyoruhusu
Skia..yes gdp ni vitu ving na cement consumption ni kitu kimoja..hivi unajua madaraja mangap ya najengwa TZ , plus roads , plus sgr bado hujaweka private construction , JNHPP ,rusumo falls..ports expansion.bus stand..bus stand zinakula concerte sana..majengo yoye yale ya serikali dodoma
 
sija sema Conrete Roads, nimesema Concrete Based Roads..

these are "Flexible Concrete Based Pavements", otherwise "Rigid Concrete Pavements", utaipata kwa Bridges ama Track Lorry Yards coz they are rigid and hardwaring.. mm ni engineer maze
Mimi nmekuelewa cause nimeona kibaha express way ikiwa underconstruction wanaweka layer flan ya cement juu ya udongo then wanamalizia na lami
 
Mimi nmekuelewa cause nimeona kibaha express way ikiwa underconstruction wanaweka layer flan ya cement juu ya udongo then wanamalizia na lami
hoja hapa ni ku stabilise sub-base na road-base ie.(road foundations) na water-proofing portland cement, sand, and coarse aggregate ballast..

design ya kitambo ilikua tu filling and compacting gravel/murram on top of bolders/hardcore material kwenye bases, hence these roads were easily prone to Ruts and Potholes, due to easy water penetration, starting from a small crack, then overtime, this crack will eventualy graduate to a massive pothole
 
Back
Top Bottom