tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]Alafu kenyewe kamejiwekea 22,000km [emoji1787][emoji1787]
Kiukweli kabisa Kenya ikifika 9,000km nafunga accnt jf, Kenya hii hii ambayo kuna county gari zinatembea siku mbili kufika ndio ifikishe japo 10,000km of paved road?
Wao waendelee na number za kwenye karatasi hivyo hivyo wkt cc tunazidi kujenga nchi iliyo kweli.