Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utapata picha za ile bridge ya Budalangi awash in Tanzanian media ile hii hutapata. Yani hawa watu wacha tu..........anything negative in Kenya lazima itrend huko yet vyao wanaficha.
and what could be the reason realy behind this🤔🤔 and why kenya alone and not even uganda, drc, mozambique, malawi, zambia or even south africa, yet wamepakana na wao kama tu sisi.... 🤔🤔
...think someone should do research about this.. infact i have another enlightened friend from tz, heb wacha alafu ntamuuliza..........
 
and what could be the reason realy behind this🤔🤔 and why kenya alone and not even uganda, drc, mozambique, malawi, zambia or even south africa, yet wamepakana na wao kama tu sisi.... 🤔🤔
...think someone should do research about this.. infact i have a friend from tz, heb wacha alafu ntamuuliza..........
Low self esteem.
 
Ukishazidiwa gdp umezidiwa mambo mengi sana ya kiuchumi, kwanamna nilivyofuatilia real estate kenya is so diverse sishangai wakituzidi matumizi ya cement.Lakini TZ Tunamiradi yetu mingi ambayo inatumia cement nyingi Kulingana na Uchumi wetu unavyoruhusu
hivi wewe tuusan, sawa tu na alivyo kua Tony254, una roho ya kipekee sana kaka, tofauti zaidi na mtanzania wowote humu..
think the rest of us should also learn to give credit, where its due..
coz realy i don't see the need of criticising somethng, when u knw deeply inside, this thing is not worth criticing, but complementing...

(i can only imagine such kind of sentiments coming from one, The best 007.. 🤔🤔... les hio siku jogoo itage mayai😆😆)

pokea zangu heko na kongole.. 🔥👏🏽👏🏽
 
Wale umaskini umezidi sana. Wale ni zaidi ya Kenya kwa umaskini. Wanaidadi kubwa ya Punda na sio ng'ombe wala mbuzi. In Ethiopia, kuna mpaka ambulance za Punda. Ni Usafiri wa watu na mizigo kama huko Lamu kwa maskini wenzao.
Umaskini.

16112296_focuseconomicspoorestcountriesmarch201801_jpeg1406bf179cbeaec539b26dea1251177e.jpeg
 
Wacha kuwa mjinga Bro, hata sie Tz tunajenga nyumba (individually) tena kwa kiwango kikubwa sana, and still tuko na miradi mikubwa mingi mno yenye thamani zaidi ya miradi yote EA .. kwa kinachoonekana ground ni clear kabisa that our cement consumption is at least two times to theirs.. hasa kwa kipindi Kati ya 2017-2022.. kuna miradi mikubwa mingi sisi tumejenga hiv karibuni tu .. kwa hili Bro 🤣🤣🤣 kaa kando
Baboon at it again. Which projects are you undertaking to consume cement two times the amount Kenya consumes? This was a report from your government and it states that Tanzanian cement consumption for the full year is equal to Kenya's cement consumption for six months. Mnajenga dam moja sisi tunajenga sita. Nairobi alone build more houses than entire Tanzania. Tatu city is consuming more cement than dodoma, Mombasa is building more bridges than all of Tanzania. Kenya is building four times the number of roads that Tanzania build.

Screenshot_20220921-143735_1.jpg
Screenshot_20220921-195755_1.jpg
 
Baboon at it again. Which projects are you undertaking to consume cement two times the amount Kenya consumes? This was a report from your government and it states that Tanzanian cement consumption for the full year is equal to Kenya's cement consumption for six months. Mnajenga dam moja sisi tunajenga sita. Nairobi alone build more houses than entire Tanzania. Tatu city is consuming more cement than dodoma, Mombasa is building more bridges than all of Tanzania. Kenya is building four times the number of roads that Tanzania build.

View attachment 2367316View attachment 2367317
Munajenga nini huko kwenu hata mtuzidi cement consumption we mbwa.? Au unaleta tu vi article mlivyoandika wenyew.? Me sio tahira mwenzako kwamba nikubaliane tu na takataka zizoonekana ground
 
Hiyo kitambo sana niliizungumza mkuu kwamba tutarajie picha mpya za kushangaza za Kariakoo, ujenzi mkubwa unaendelea pale, ghorofa nyingi mno kupita maelezo, hakuna mji hapa EA na miji kibao ya Afrika utakaribia Kariakoo kwa maghorofa.
Gorofa za three floors 😂😂
 
Baboon at it again. Which projects are you undertaking to consume cement two times the amount Kenya consumes? This was a report from your government and it states that Tanzanian cement consumption for the full year is equal to Kenya's cement consumption for six months. Mnajenga dam moja sisi tunajenga sita. Nairobi alone build more houses than entire Tanzania. Tatu city is consuming more cement than dodoma, Mombasa is building more bridges than all of Tanzania. Kenya is building four times the number of roads that Tanzania build.

View attachment 2367316View attachment 2367317
We mbwa unakunya au unaongea.?
 
Munajenga nini huko kwenu hata mtuzidi cement consumption we mbwa.? Au unaleta tu vi article mlivyoandika wenyew.? Me sio tahira mwenzako kwamba nikubaliane tu na takataka zizoonekana ground
Sasa wewe baboon unajua zaidi kuliko serikali yenu?
 
ila 🎼 riziki ni popote mtu wangu zidisha piga mbwata.!.. mtanzania.! na ofisi ni miguu yako.. tafuta utapata.!....🎶🎼
 
Back
Top Bottom