Hebu tuambie mnajenga kitu gani ili tuamini mnatukaribia kwenye matumizi ya cement, sisi tunajenga JNHPP, tunajenga Dodoma city, tunajenga Msalato airport, tunajenga BRT system, tunajenga kigongo busisi one of the longest bridge in Africa, tunajenga bridges kibao, tunajenga bandari zote kubwa nchi hii, tunajenga the longest SGR in Africa, nyie mnajenga nn cha kuweza kushindana na hizo infrastructures nilizokutajia hebu tuambie ili tujue ile takwimu ni ya uongo. Ubishani mwingine ni wa kitoto sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]