Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are an idiot indeed, is KIA in those countries? is it a multinational? that lady and a headmaster of a local school in Tz wako the same in principle., alafu yaani bila KQ your airports are white elephants, yaani out of 20 flights 11 ni Kenya Airways na mbili Jambo jet, making 13 Kenyan airlines!! ata sio Air Tanzania, mifukara, ningekua wewe singepost hii aibu😂 😂 😂 😂 😂 😂 💪 💪 💪
View attachment 2366246
Don't forget that Precision air pia ni ya KQ😂😂
 
You are an idiot indeed, is KIA in those countries? is it a multinational? that lady and a headmaster of a local school in Tz wako the same in principle., alafu yaani bila KQ your airports are white elephants, yaani out of 20 flights 11 ni Kenya Airways na mbili Jambo jet, making 13 Kenyan airlines!! ata sio Air Tanzania, mifukara, ningekua wewe singepost hii aibu
View attachment 2366246

KIA is International Airport. Busy than Kisumu and Mombasa Combined.
 
KIA is International Airport. Busy than Kisumu and Mombasa Combined.
Stop dreaming. KIA passengers number is almost the same na ya Kisumu. For Mombasa airport, it plays the same league with JNIA.
 
now when i talk of authentic bongo flava of my college years.. now this is what i actually mean..

heb skia tu mistari iliyo enda shule.. yani, mistari iliyo komaa kimashairi..

mchizi moxi mwenyewe....
nb:
hiki kizazi cha kina diamond ndo wamekuja kuharibu starehe.. they have totaly _fucked up what we actualy knew as 'bongo flava' in nairobi.. enzi za channel5
Pia hata kizazi cha sasa hivi kinapenda nyimbo zenye ujumbe wa matusi matusi tu Wasanii wasipoimba nyimbo za mlengo huo hawapati kujulikana. Jamii inapenda inama nilenge, nyoka pangoni, nyegezi na upuuzi kama huo, angalau Mbosso na Lava lava wanatumia tafsida kwenye nyimbo zao, ila wengine wako uchi sana.
 
Dsm
20220924_123252.jpg
20220924_123532.jpg
20220924_123554.jpg
20220924_123646.jpg
20220924_123717.jpg
20220924_123829.jpg
 
Pia hata kizazi cha sasa hivi kinapenda nyimbo zenye ujumbe wa matusi matusi tu Wasanii wasipoimba nyimbo za mlengo huo hawapati kujulikana. Jamii inapenda inama nilenge, nyoka pangoni, nyegezi na upuuzi kama huo, angalau Mbosso na Lava lava wanatumia tafsida kwenye nyimbo zao, ila wengine wako uchi sana.
mwanzo ikiongozwa na Mondy, kusifia tu kutaka akamatwe kwenye msambwanda, kutaka atolewe kutu kwa mparange, na kutaka apakwe mate kwanza kabla ya huyu kijana wa kimbagala kupakatwa... hio tu 24/7!🤮

ananikera sana huyu kijana.. hana content, ata magafuli alisusia kupiga ban nyimbo zake wakati moja around 2018..

ata nashindwa mbona yeye maarufu sana huku akikurupuka uharo🤮

eti, "paka mate ili niteleze kama nyoka mpangoni"..... 🤔🤔
Screenshot_20220516-145151_Gallery.jpg
 
Kwa kusoma Cuba kunasaidia nini kuelewa kireno?
Me naona ana maana zaidi ya kireno mkuu...nenda mbele zaidi kwenye ujamaa ndani yake kuna jambo analimaanisha kuhusu ziara ya mama huko kusini kama nimemuelewa vizuri jamaa, niko tayari kukosolewa kama siyo hivyo.
 
mwanzo ikiongozwa na Mondy, kusifia tu kutaka apeane msambwanda, kutaka aokotwe kwa mparange, na kutaka apake mate ili huyu kijana wa mbagala apakatwe... hio tu 24/7!

ananikera sana huyu kijana.. hana content, ata magafuli alisusia kupiga ban nyimbo zake wakati moja around 2018..

ata nashindwa mbona yeye maarufu sana huku akikurupuka uharo

eti, "paka mate ili niteleze kama nyoka mpangoni".....
View attachment 2366465
Anatuharibia vijana wetu. BASATA wakimpiga rungu mashabiki wanakuja juu eti ohoo mnaharibu industry ya muziki...mmomonyoko wa maadili unaongezeka zaidi. Jamii ndio inatakiwa kukataa muziki wa matusi, watunge mashairi yanayoeleweka yenye ujumbe mzuri ambao unaweza kusikiliza muziki ukiwa na rika zote.

Kipindi cha prof Jay bongo darsalam, mtu katoa hela bandia naye akauziwa cheni bandia
 
Back
Top Bottom