Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The second three level interchange in Addis Ababa. This is the only city that can compete with Nairobi in East Africa.

tapatalk_1663951031370.jpeg
 
Ila bado Ethiopia wapo mbele yetu mkuu kwa idadi ya mifugo.
Shida ya taasisi zetu za statistics ni wavivu ku update takwimu, unakuta takwimu mpya zimetoka za nchi nyingine zikionesha mabadiliko lkn za Tz zinabaki pale pale za kitambo, na ndiyo maana unakuta kwenye battle kama hv tunasumbuliwa mana wao wanaweka mpya cc zetu zinakuwa zile zile cjui tulilogwa na nani aisee.
 
Wengine huwa wanasema wametushinda kwenye kunywa maziwa
Wakati nanunua maziwa mitaani na serikali haina habari kuwa nimemunua maziwa mitaani.
Labda wametushinda kwenye maziwa ya unga.
 
Shida ya taasisi zetu za statistics ni wavivu ku update takwimu, unakuta takwimu mpya zimetoka za nchi nyingine zikionesha mabadiliko lkn za Tz zinabaki pale pale za kitambo, na ndiyo maana unakuta kwenye battle kama hv tunasumbuliwa mana wao wanaweka mpya cc zetu zinakuwa zile zile cjui tulilogwa na nani aisee.
Una hoja kubwa hapa mkuu! Kuna uzembe sana, watu wa takwimu wanatuangusha.
 
Nilitaka kushangaa tangu lini ka Nairobi kakawa na infrastructure high quality namna hii, kumbe ni Addis
Empty debes makes a lot of noise.

You should not even talk about infrastructure cause Tanzania is in bottom ten in Africa.
IMG_20210712_220639.jpg
 
Hello ladies and gentlemen. Today I want to expose the lies, Tanzanian economic updated figures are out. My fellow Kenyans, come and see how Tanzanians want to deny their govt report.

The Front Page
Screenshot_20220924-153245.png
 
Back
Top Bottom