Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Sijui wenzangu mliiona hii.? 🤣🤣🤣🤣👇.
From all telcom companies?Iyo ni yetuView attachment 2341080
Sitoshangaa ata ukisema USA inaNdio itaendelea kuwa tembo mweupe hadi muweke hivyo mnavyoita supporting infrastructures..
Kwani wakati mnakurupuka hamkujua hilo? Kwa taarifa yako karibu ma stand yote yaliyojengwa maeneo mbalimbali Tzn yako hivyo na kuleta usumbufu..
Hao watu wa Dar mnaiona hiyo Kero kwa vile Wana pa kusemea kuna vyombo vya habari nk lakini huku mikoani watu wanahenyeka hivyo hivyo..
Stand ziko km 15-20 Nje ya Mji unategemea nini kwenye miji midogo kama Iringa, Sumbawanga,Dodoma,Mpanda nk ?Mastand yenu haya ni Kero na adhabu kubwa kwa wananchi..
Nimekwambia ukawaambie Wapuuzi wenzio, Nchi inatakiwa kuwa na maono ya Mbele zaidi ndio maana bomoa bomoa haziishi kwa sababu ya akili finyu kama zakoKawaambie wanaopiga makelele sio mimi wewe fala..
Hii Nchi naipenda sana unaambiwa Shanghai ni mji wa kibiashara lakini skyscrapers nyingi zipo Shenzhen na Hong-Kong, Mabilionea wengi wapo Beijing, lakini My Country kila kitu kinawekwa sehemu MojaChina is just unmatched.. The world's financial district.? 👇 ShanghaiView attachment 2340989View attachment 2340992
Kwa hiyo hako ka stand cha mbezi ndio maono?Sitoshangaa ata ukisema USA ina
Nimekwambia ukawaambie Wapuuzi wenzio, Nchi inatakiwa kuwa na maono ya Mbele zaidi ndio maana bomoa bomoa haziishi kwa sababu ya akili finyu kama zako
Sijui wenzangu mliiona hii.? 🤣🤣🤣🤣👇.
OfczFrom all telcom companies?
Mapenzi wapi zaidi amejaza ujinga kichwani mwake kichwa box huyo
Huyu jamaa ni ignorant apewe elimu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabla sijamjua nilikuwa nakasirika ila siku hizi nimebaki kumcheka tu. Ukitaka asifie kitu ni kiwe cha Nyanda za Juu Kusini ila Kanda ya Ziwa au miradi ya Magufuli ataponda mpaka povu limtoke lote.
Unajua China ni wabunifu toka enzi na enziWalikuwa wenzetu wakati tunapata Uhuru, hata kama walituzidi si kwa viwango hivi lakini hata theluthi moja hatuwaingii, sijui tulikwama wapi [emoji848][emoji848][emoji848]
Ufisadi umerudi tena kama kawaida 🤦 dah roho inaniuma kisenge yani.. Dah.!! 😥 400 billion.? Like seriously.?
- Nasikia karan mmoja analipwa 1.3m kwa zoezi zima. Sijajua wako wangapi, msisahau wenyeviti wa mtaa au vijiji
- Nadhan inahusisha tender ya kununua zile vishkwambi, sijajua viko vingap..na vimenunuliwa kwa bei ngapi kwa moja
- Pia nadhan inahusisha tender ya reflectors, sijajua imetumia ngap hapo
Lkn 400b is too much kwa hili zoezi lote, im trying kuringanisha bajet ya uchaguzi na hii ya Sensa, mbona kama ya uchaguzi ndo ngumu lkn imetumia hela ndogo zaidi ya hii ya sensa
Mbona zimetumika t shs 629B afadhali ingekua tshs 400BUfisadi umerudi tena kama kawaida [emoji1751] dah roho inaniuma kisenge yani.. Dah.!! [emoji26] 400 billion.? Like seriously.?
Kama ukifikiria ishu za mpira, hapo ujenga viwanja vi 3 au 4 kama cha mkapaUfisadi umerudi tena kama kawaida 🤦 dah roho inaniuma kisenge yani.. Dah.!! 😥 400 billion.? Like seriously.?
Nakusupport Mchina yuko ahead ya USA kwa vitu vingi🤣🤣🤣 Sorry to say this.. kwenye dunia ya leo US ni joke Bro.. ndio mana tukibishana humu mtakimbilia kwenye masuala ya military supremacy
Jaribu kujifunza kwa walio endelea Mfano hivi unajua umbali kati ya Daxing Beijing International airport na Beijing yenyewe, watu wanafanya for future, miji sasa inapanuka kwa kasi ndio maana tunahitaji vitu vikubwa kuepusha usumbufu baadae pia serikali ikiwekeza kwenye Miradi itasaidia miji kujitegemea kimapato na kumuondolea Mwananchi mzigo wa kodi,Mfano miradi mingi China kama vile Apartments, BRT, tren za mwendo kasi mfano (Maglev) serikali imewekeza in return wanapata pesa Nyingi za kusaidia na MasikiniUtasimamia tembo mweupe? 😆😆..
Ndio hao hawataki kushukia kule Magufuli nenda kasimamie wewe uwabie tuko kwenye modern world uone kama hujang'olewa meno..
Modern world ambayo haimsaidii mwananchi inamnyonya nani anaitaka?.
Ujinga kama huu ndio mumeufanya kwenye mimasoko imebakia empty hadi dakika hii.
Mwalimu wako alipata shida sana kukuelewesha kaa na ujinga wako, hii Nchi ina watu wa hovyo sana hata uwatengenezee vipi, kwanza najisahaulisha kuwa unamapenzi nikikujibu tena niite MbwaKwa hiyo hako ka stand cha mbezi ndio maono?
Wewe ni mzigo hata Kwa familia yako,vitu cheap na vya wavivu kufikiria ndio unasema maono?
Stand itaondoa watu kwenye umaskini? Taahira wewe hujui hata unachoongea..
Narudia tena kukwambia watu wenye uwezo mdogo wa fikra kama wewe ndio unaona vistandi ndio maono.
Acha kuleta mifano ya kindezi..Jaribu kujifunza kwa walio endelea Mfano hivi unajua umbali kati ya Daxing Beijing International airport na Beijing yenyewe, watu wanafanya for future, miji sasa inapanuka kwa kasi ndio maana tunahitaji vitu vikubwa kuepusha usumbufu baadae pia serikali ikiwekeza kwenye Miradi itasaidia miji kujitegemea kimapato na kumuondolea Mwananchi mzigo wa kodi,Mfano miradi mingi China kama vile Apartments, BRT, tren za mwendo kasi mfano (Maglev) serikali imewekeza in return wanapata pesa Nyingi za kusaidia na Masikini