Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rika moja na eldoret
eldoret itakuaje rika moja na moshi, il hali google earth hapa inaonesha eldoret na mwanza zinatoshana.... aah!?

hebu jibu hili swali tafadhali.. bamdogo tuusan
Screenshot_20220808-062606_Earth.jpg
 
Hivi msingi wa kuazishwa huu mradi wa Anwani za makazi ulikua ni nini mpaka leo sijapata majibu.. kama hivyo vielekeza mitaa vinavunjwa tu hovyo.. hii ni Sinza👇
IMG_20220831_202126_033.jpg
hizo bilions zilizotumika hapa mrejesho wake kwenye uchumi wetu ñi upi.? Lakin mbona sisi watanzania wa kawaida hizi Anwani za makazi sio vipaumbele vyetu.? Viongozi vilaza kama kina Nape Nauye wanafanya nini ofini?
 
Hela zipo ni wewe na mipango yako tu...
Sijui kama umenotice hata ujenzi wa nyumba za kisasa umekua kwa kasi sana nje ya mji hata mikoani,yani watu wanakamua kila idara
Hiyo ya namba za Gari kukimbia sana hapa mwanzoni mwa E nina doubt kidogo. Ngoja miezi 2 ipite tuone kama spidi itabaki hivi hivi.

Kumbuka kuna waliokuwa wanatembelea chasis number wakisubiri E. Hivyo usajili uko juu Kwa Sasa.
 
Hivi msingi wa kuazishwa huu mradi wa Anwani za makazi ulikua ni nini mpaka leo sijapata majibu.. kama hivyo vielekeza mitaa vinavunjwa tu hovyo.. hii ni Sinza👇View attachment 2341231hizo bilions zilizotumika hapa mrejesho wake kwenye uchumi wetu ñi upi.? Lakin mbona sisi watanzania wa kawaida hizi Anwani za makazi sio vipaumbele vyetu.? Viongozi vilaza kama kina Nape Nauye wanafanya nini ofini?
yaani dunia hii ya kidigitali huoni umuhimu wa anuani ya makazi? Anuani za makazi zinafungua ajira nyingi sana haswa kwenye masuala ya biashara zote za delivery! Ni biashara kubwa kuliko maelezo!
 
Hakuna mradi mpya wa maana utaanzishwa chini ya serikali dhaifu mzee. Wacha wamalizie miradi ya awamu ya tano basi waendelee kupiga pesa basi.
Nimekusoma mkuu. Tuendelee kupandishiwa bei za bidhaa ili tuzidi kumkubuka jembe. Nondo iliyokuwa inauzwa elfu 15 mwaka uliopita sasa hivi ni 23,bati la elfu 15 sasa hivi ni elfu 24,kila kitu ni hivyo hivyo hovyo kabisa.
 
And no single five star hotel outside Nairobi right ?
Many...............very many. Which is the 5 star hotel in Arusha anyway?
This one here in Naivasha for instance is 5-star - Enishapai resort.

111.jpg
111.jpg


...........and Mombasa has 5-star hotels too. This is Sarova Whitesands, a 5-star.

the-resort-banner_.jpg



Pride Inn Hotel is another 5-star in Mombasa
Pride-Inn-Hotel.jpg
PrideInn-Paradise-Hotel.jpg


Serena Beach Hotel is another 5 star in Mombasa
accommodation-beach-hotel-kenya-coast-on-safari.jpg
 
Unajua leo nilikua na explore vitu basic kama zinafananaje kwenye dunia ya china but yo, sisi tunasafari ndefu sana kufikia levels za hawa jamaa.. imagine nilivyoona hili jengo linakaa tetris ati ni primary schoolView attachment 2341053 then I've had to google and get to see more.. then I've found several middle schools to be amazing, imagine this a middle school in China [emoji116]View attachment 2341054View attachment 2341055View attachment 2341056View attachment 2341057primary school in fushan City [emoji116]View attachment 2341058View attachment 2341059View attachment 2341060another middle school in China [emoji116]View attachment 2341061ingine [emoji116]View attachment 2341062then I've seen this collage of Education in China [emoji116]View attachment 2341064View attachment 2341065View attachment 2341066View attachment 2341067china ni dunia nyingine kabisa [emoji1787][emoji1787] nimeshangaa sana, shule kama hizi huku kwetu Africa ingekua the most modern, futuristic, state of art mega mall in Africa (Kenya hiyo) [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] in Kenya, sasa hapo vyuo vyao vikoje mkuu. Hii dunia bwana haina usawa kabisa.
 
  • Nasikia karan mmoja analipwa 1.3m kwa zoezi zima. Sijajua wako wangapi, msisahau wenyeviti wa mtaa au vijiji
  • Nadhan inahusisha tender ya kununua zile vishkwambi, sijajua viko vingap..na vimenunuliwa kwa bei ngapi kwa moja
  • Pia nadhan inahusisha tender ya reflectors, sijajua imetumia ngap hapo

Lkn 400b is too much kwa hili zoezi lote, im trying kuringanisha bajet ya uchaguzi na hii ya Sensa, mbona kama ya uchaguzi ndo ngumu lkn imetumia hela ndogo zaidi ya hii ya sensa. But sijui lolote [emoji2]
Vishikwambi mbona walisema tumepewa msaada na South Korea?
 
Back
Top Bottom