Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Mbona ungeweza andika politely kama venye what he did.?Sio matusi, ni kufukuza ujuaji uchwara., 😂 😂 😂 😂 😂
Mbona ungeweza andika politely kama venye what he did.?Sio matusi, ni kufukuza ujuaji uchwara., 😂 😂 😂 😂 😂
do u know politely? it is not insisting on propaganda kujikweza ilhali ukweli uko wazi.., lazima tukemee such idiotic minds, hakuna huruma panapo ujinga 😂 😂 😂Mbona ungeweza andika politely kama venye what he did.?
Haya bwana mwerevu, well done 👏👏do u know politely? it is not insisting on propaganda kujikweza ilhali ukweli uko wazi.., lazima tukemee such idiotic minds, hakuna huruma panapo ujinga 😂 😂 😂
Alafu hapa usiwe serious bana.., take it light, whatever jab u get, tafuna ndimu tu😂😂😂😂Haya bwana mwerevu, well done 👏👏
Tumefanya debate hapa ya real estate Kisumu Vs Arusha mkatoroka na bado unataka kubishana. Ikifika ni sekta ya Real estate na Road network Kisumu inatandika Arusha kabisa.Pumbavu wewe ulikuwa wapi wkt Kisumu inapigwa na Arusha, hakuna comparison ya kisumu vs Arusha.
Hile mambo ya manufacturing between Kisumu and Arusha uliamua kusurrender?😂😂China is just unmatched.. The world's financial district.? 👇 ShanghaiView attachment 2340989View attachment 2340992
China is just unmatched.. The world's financial district.? [emoji116] ShanghaiView attachment 2340989View attachment 2340992
China is just unmatched.. The world's financial district.? [emoji116] ShanghaiView attachment 2340989View attachment 2340992
Nairobi has more 5 star hotels than both Zanzibar and Arusha.Kwa sababu wageni wetu wengi hufikia Arusha na Zanzibar na ndiko kuna mahoteli mengi zaidi ya nyota tano
Achana nao,wakitoa wasipotoa siyo big deal sababu haitujazii wallet kamandaHao wasenge unawapa sifa, je wao wanafanya hivyo?
Mtu unachukua information ya politician kama gospel truth una mtu mmoja tu unaweza dharau. Yourself.Nimekudharau 🚮
Pumba,Uselee mkuu wa Mkoa au poyoyo aliyejenga listand tembo mweupe lisilo na maana!?
Ndio raha ya kukurupuka na mipango na mamiradi ya kupiga picha mkiita maendeleo..
Tembo mwingine mweupe kama machinga complex,na mamiradi mengine ya hovyo kama masoko and such upuuzi..
Nyie mawatu wenye akili ziko confined kwenye mavitabu mliyokariri mkijiita Wasomi huwa hamna akili..shangilieni si hiyo stand ni maendeleo mbona hamtaki tena..
🤣🤣 Hawa jamaa zetu ni much knowKuna washamba wanasemaga hamna apartments CBD , Hapo Lujiazui Financial district kuna vijumba kibao na vingine vipya vinajengwa. [emoji23]
Watapita kimya kimyaKwenye suala la makazi ya watu Dodoma pia inafanya vizur [emoji116]View attachment 2340918View attachment 2340919View attachment 2340921View attachment 2340922View attachment 2340924
Hawawezi sema kitu hapo 🤣🤣Watapita kimya kimya
Mapenzi wapi zaidi amejaza ujinga kichwani mwake kichwa box huyoYaan wewe jamaa huwa unaongea kwa mapenzi sana