Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
New financial district underway in DODOMA 👇
DODOMA unaendelea kwa kasi ya 5G
Statistics are not proclaimed by politicians. Go back to school.🤣🤣🤣🤣 We mpunga unalazimisha vipi tuhadithiwe story za maisha yetu, Ulisoma wapi wewe kichaa.. yani niokote data mtandaoni niziamini kuliko data za Waziri.? 🤣🤣🤣🤣
50% ni bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna siku Simon aliweka idadi ya magari yaliyosajiliwa Tanzania Hapa.
Hawa wakulungwa naona wnaa Bodaboda nyingi
View attachment 2340813
Famba wewe, peleka upuuzi na wivu wako wa kishamba porini uko.. wewe ni wa kunifundisha mimi.? 🤣🤣 Eti kisa unanilazimishia ujingaStatistics are not proclaimed by politicians. Go back to school.
🤣🤣🤣 Dah50% ni bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siwezi kushangaa mana wao ndio waanzilishi wa bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha uzwazwa na wewe unataka miji waifinye ili iweje, Mji unatakiwa kupanuka kulingana na master plan ake Mfano Dodoma ina zaidi ya 2000km² asaa ulitaka stand ijengwe Sabasaba, Mwanza 546km² ulitaka stand ibaki Buzuruga. Tena mimi nilitamani stand ya Ilemela ingejengwa kisesa nje kabisa uko ili mji ukue kufata mipaka yake, Mfano apo Nyamhongolo sasa ivi kuna Nyumba kali na viwanja vimepanda beiNdio itaendelea kuwa tembo mweupe hadi muweke hivyo mnavyoita supporting infrastructures..
Kwani wakati mnakurupuka hamkujua hilo? Kwa taarifa yako karibu ma stand yote yaliyojengwa maeneo mbalimbali Tzn yako hivyo na kuleta usumbufu..
Hao watu wa Dar mnaiona hiyo Kero kwa vile Wana pa kusemea kuna vyombo vya habari nk lakini huku mikoani watu wanahenyeka hivyo hivyo..
Stand ziko km 15-20 Nje ya Mji unategemea nini kwenye miji midogo kama Iringa, Sumbawanga,Dodoma,Mpanda nk ?Mastand yenu haya ni Kero na adhabu kubwa kwa wananchi..
Yaan wewe jamaa huwa unaongea kwa mapenzi sanaUselee mkuu wa Mkoa au poyoyo aliyejenga listand tembo mweupe lisilo na maana!?
Ndio raha ya kukurupuka na mipango na mamiradi ya kupiga picha mkiita maendeleo..
Tembo mwingine mweupe kama machinga complex,na mamiradi mengine ya hovyo kama masoko and such upuuzi..
Nyie mawatu wenye akili ziko confined kwenye mavitabu mliyokariri mkijiita Wasomi huwa hamna akili..shangilieni si hiyo stand ni maendeleo mbona hamtaki tena..
Statistics are released by bodies, not politicians. Grow a brain.Famba wewe, peleka upuuzi na wivu wako wa kishamba porini uko.. wewe ni wa kunifundisha mimi.? 🤣🤣 Eti kisa unanilazimishia ujinga
Na mbona Nairobi Ina 5 star hotels nyingi kuliko Dar yet Nairobi is an inland city while Dar is a coastal city?
Propaganda na porojo wacha, ujinga na porojo peleka mbali, jameni shirikisha ubongo katika mambo mengine, sio kila wakati porojo na shabiki za kifala 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 u hardly understand exchange rates and factors affecting them, What do u mean by resilience economy? alafu hakuna tofauti ikija USD to Tshs na Kenya shillings! Yaani, as at now USD to Tshs is more or less same as Kshs.., hakuna janja janja, wewe unaongea kiushabiki sio kiutalamu, u are ignorant bana😂😂😂😂😂 kwa sasa USD is very strong across, and Tanzanian economy sio resilient imekua hovyo siku zote, so 1USd to Kshs ni ksh120, 1USD to Tshs ni 2329, and highest this August ilifika Tsh2344 on 27th.., kwa pesa za Kenya USD to Tshs ranges between Ksh119 and Ksh120, yaani iko sawa na Kenya, so with your weak economy u are more disadvantaged! Your total exports is less than Kenya's! Ujinga na upumbavu ni laana bana..,Tsh has been stable against USD haijawahi kupanda hata kwa Tsh 50 tangu Magufuli amekufa which is more than a year now. This is what we mean when we say resilient economy.
On the other hand IMF and WB said a year ago that Kenyan Shilling is overvalued against the dollar by 30% this was when the KES was 100 to the USD but now you can see we are steadily approaching the true value of the KES to the dollar.
Janja ya ku overvalue currency ili uweze kulipa madeni ndio imewafikisha hapo mlipo ambapo the government cant even finance hata mradi mmoja wenye value ya USD 1m
Nimekudharau 🚮Statistics are released by bodies, not politicians. Grow a brain.
Matusi ya nini sasa.?Propaganda na porojo wacha, ujinga na porojo peleka mbali, jameni shirikisha ubongo katika mambo mengine, sio kila wakati porojo na shabiki za kifala 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 u hardly understand exchange rates and factors affecting them, What do u mean by resilience economy? alafu hakuna tofauti ikija USD to Tshs na Kenya shillings! Yaani, as at now USD to Tshs is more or less same as Kshs.., hakuna janja janja, wewe unaongea kiushabiki sio kiutalamu, u are ignorant bana😂😂😂😂😂 kwa sasa USD is very strong across, and Tanzanian economy sio resilient imekua hovyo siku zote, so 1USd to Kshs ni ksh120, 1USD to Tshs ni 2329, and highest this August ilifika Tsh2344 on 27th.., kwa pesa za Kenya USD to Tshs ranges between Ksh119 and Ksh120, yaani iko sawa na Kenya, so with your weak economy u are more disadvantaged! Your total exports is less than Kenya's! Ujinga na upumbavu ni laana bana..,
Dollar to Kshs
View attachment 2340966
1USD to TSHs.
View attachment 2340967
1KSH to TSHs.
View attachment 2340968
Kawaambie wanaopiga makelele sio mimi wewe fala..Acha uzwazwa na wewe unataka miji waifinye ili iweje, Mji unatakiwa kupanuka kulingana na master plan ake Mfano Dodoma ina zaidi ya 2000km² asaa ulitaka stand ijengwe Sabasaba, Mwanza 546km² ulitaka stand ibaki Buzuruga. Tena mimi nilitamani stand ya Ilemela ingejengwa kisesa nje kabisa uko ili mji ukue kufata mipaka yake, Mfano apo Nyamhongolo sasa ivi kuna Nyumba kali na viwanja vimepanda bei
Sio matusi, ni kufukuza ujuaji uchwara., 😂 😂 😂 😂 😂Matusi ya nini sasa.?