Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Mpango upo njiani
Ila kwasasa tunaskia tu kuna mpango, kuna mpango 🤣🤣 no implementations, what's going on.? Ule mpango wa kujenga zile Arena mbili DOM &DAR umeishia wapi, tenda imeshatangazwa.?