Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rafiki yangu alienda China kusoma ,siku analand Beijing alijiskia vibaya sana
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
emoji23.png
emoji1787.png
....
He was like hey hii ni dunia hii hii ama niko sayari ingine? Nyie acheni bana hapa tunapigana vifua na v2 basics v2 vya kushtua ni vichache sana...Alistaajabu sana alioyaona..
Unajua leo nilikua na explore vitu basic kama zinafananaje kwenye dunia ya china but yo, sisi tunasafari ndefu sana kufikia levels za hawa jamaa.. imagine nilivyoona hili jengo linakaa tetris ati ni primary school
DJXa0898-06(0).jpg
then I've had to google and get to see more.. then I've found several middle schools to be amazing, imagine this a middle school in China 👇
005-Building_and_distant_mountainsWu_Qingshan.jpg
006-Building_and_cityWu_Qingshan.jpg
028-Gymnasium_and_grandstandWu_Qingshan.jpg
portada_7T2A9880.jpg
primary school in fushan City 👇
maxresdefault.jpg
1-279.png
437d1c714bc44488848767f75c9de162.6e7b65d0.jpg
another middle school in China 👇
003-Aerial_view_of_campus_and_city__Wu_Qingshan.jpg
ingine 👇
6f801d32ce3b79a4cfaf352a894b764a.jpg
then I've seen this collage of Education in China 👇
13_.jpg
10_.jpg
2_.jpg
7_.jpg
china ni dunia nyingine kabisa 🤣🤣 nimeshangaa sana, shule kama hizi huku kwetu Africa ingekua the most modern, futuristic, state of art mega mall in Africa (Kenya hiyo) 🤣🤣
 
Yet Safaricom's profit is bigger than the total profit of top 20 biggest companies in Tz.
Iyo profit ya safaricom anaefaidi sanasana ni muwekezaji,hakuna ushindani kwann?nn kiko nyuma ya pazia
 
Unajua leo nilikua na explore vitu basic kama zinafananaje kwenye dunia ya china but yo, sisi tunasafari ndefu sana kufikia levels za hawa jamaa.. imagine nilivyoona hili jengo linakaa tetris ati ni primary schoolView attachment 2341053 then I've had to google and get to see more.. then I've found several middle schools to be amazing, imagine this a middle school in China [emoji116]View attachment 2341054View attachment 2341055View attachment 2341056View attachment 2341057primary school in fushan City [emoji116]View attachment 2341058View attachment 2341059View attachment 2341060another middle school in China [emoji116]View attachment 2341061ingine [emoji116]View attachment 2341062then I've seen this collage of Education in China [emoji116]View attachment 2341064View attachment 2341065View attachment 2341066View attachment 2341067china ni dunia nyingine kabisa [emoji1787][emoji1787] nimeshangaa sana, shule kama hizi huku kwetu Africa ingekua the most modern, futuristic, state of art mega mall in Africa (Kenya hiyo) [emoji1787][emoji1787]
Usigotee China chungulia kidogo na kws mkubwa US utajifunza kitu
 
Pumba,

Halafu nasikia kwa siku moja ile stand ya tembo mweupe imeingiza mapato ya Tshs.1200/= tu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio inaingiza kwa kuwa mabasi yanalazimishwa kuingia ndani ila watu hawataki washushiwe huko maporini na kuingizwa gharama mpya..

Wanalalamika kwamba mnawalazikisha kuwashusha huko Ili walale kwenye hayo magesti ya watu waliopanga hapo juu..

Poor planning,sio kazi ya Serikalini kufanya Biashara in the name of miradi ya kimkakati and such upuuzi..

Jenga stand za kawaida kama ya mawasiliano kwa gharama nafuu maeneo mbali mbali tena ya mjini na mambo ya magesti na mafremu achilia private sector..

Huu upuuzi mtausikia sio mda huko Mwanza hasa kwenye kulazimisha malori eti yaende parking za Serikali wakati Wana parking zao..

Yaani unaanzisha Biashara harafu unalazimisha watu waende,hiyo ni biashara?

Gharama za kujenga hiyo stand zingeweza kujenga stand nyingi zaidi kama ile Kibaha au Mawasiliano maeneo mengi na kuingiza mapato zaidi kuliko kujenga magorofa harafu unalazimisha watu kupanga,stand za maghorofa za nini? Lodges ni kazinya private sector sio Serikali.
 
Iyo profit ya safaricom anaefaidi sanasana ni muwekezaji,hakuna ushindani kwann?nn kiko nyuma ya pazia
GOK collects more than $1B from Safaricom yearly the remaining goes to paying of salaries and other expenses. In other words 90 % of what Safaricom is earning remains in Kenya.
 
Ndio inaingiza kwa kuwa mabasi yanalazimishwa kuingia ndani ila watu hawataki washushiwe huko maporini na kuingizwa gharama mpya..

Wanalalamika kwamba mnawalazikisha kuwashusha huko Ili walale kwenye hayo magesti ya watu waliopanga hapo juu..

Poor planning,sio kazi ya Serikalini kufanya Biashara in the name of miradi ya kimkakati and such upuuzi..

Jenga stand za kawaida kama ya mawasiliano kwa gharama nafuu maeneo mbali mbali tena ya mjini na mambo ya magesti na mafremu achilia private sector..

Huu upuuzi mtausikia sio mda huko Mwanza hasa kwenye kulazimisha malori eti yaende parking za Serikali wakati Wana parking zao..

Yaani unaanzisha Biashara harafu unalazimisha watu waende,hiyo ni biashara?
Wacha kuwa kipofu wewe, tupo kwenye modern world na lazima miundombinu yetu pia iwe modern, suala la itafanya vipi kazi ilete faida hilo ni suala la wasimamizi and incase of failure that means poor governance.. serikali ya mama umesha prove failure kitambo tu.. miundombinu kama yetu imefanywa kwenye mataifa yote yanayoendelea na inafanya vizur tu ..
 
GOK collects more than $1B from Safaricom yearly the remaining goes to paying of salaries and other expenses. In other words 90 % of what Safaricom is earning remains in Kenya.
Are you sure?
 
Wacha kuwa kipofu wewe, tupo kwenye modern world na lazima miundombinu yetu pia iwe modern, suala la itafanya vipi kazi ilete faida hilo ni suala la wasimamizi and incase of failure that means poor governance.. serikali ya mama umesha prove failure kitambo tu.. miundombinu kama yetu imefanywa kwenye mataifa yote yanayoendelea na inafanya vizur tu ..
Mkuu naona una free time ya kutosha wa kuongea na huyo zuzu 😃.. i cant even spend 1 sec 😂
 
Wacha kuwa kipofu wewe, tupo kwenye modern world na lazima miundombinu yetu pia iwe modern, suala la itafanya vipi kazi ilete faida hilo ni suala la wasimamizi and incase of failure that means poor governance.. serikali ya mama umesha prove failure kitambo tu.. miundombinu kama yetu imefanywa kwenye mataifa yote yanayoendelea na inafanya vizur tu ..
Utasimamia tembo mweupe? 😆😆..

Ndio hao hawataki kushukia kule Magufuli nenda kasimamie wewe uwabie tuko kwenye modern world uone kama hujang'olewa meno..

Modern world ambayo haimsaidii mwananchi inamnyonya nani anaitaka?.

Ujinga kama huu ndio mumeufanya kwenye mimasoko imebakia empty hadi dakika hii.
 
Back
Top Bottom