The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Na mbona Nairobi Ina 5 star hotels nyingi kuliko Dar yet Nairobi is an inland city while Dar is a coastal city?I thought that is your top Tourist destination kwa huko kunyaland, so as Zanzibar for Tz, how comes you don’t have atleast 1 five star Hotel ?
Hiyo namba ya Tz kuwa na gari 2 million umeitoa wapi wewe.? 🤣🤣 Au unaropoka.?Total vehicles in Tanzania is 2M and Tanzanian total population is 65M. You can do the rest by yourself unless hujui hesabu.
Mbona sababu zipo wazi tu, Nairobi ndio your top tourist destination, mbuga za wanyama n.k, bado NAIROBI is your political capital, tena NAIROBI bado is your financial capital..Na mbona Nairobi Ina 5 star hotels nyingi kuliko Dar yet Nairobi is an inland city while Dar is a coastal city?
Hiyo figure umepata wapi we mbwa.? [emoji1787][emoji1787]
As of 2012 DAR alone there was 1 million registered cars 👇https://allafrica.com/stories/201208010069.html. 🤣🤣🤣 hiyo namba unataja 2 million cars ni kwa DAR alone kwasasaTotal vehicles in Tanzania is 2M and Tanzanian total population is 65M. You can do the rest by yourself unless hujui hesabu.
Kwahyo kwa magari jamaa wako na magari chini ya milioni mbili.. 🤣🤣🤣 zilizobaki ni tuktuk na bodabodaKuna siku Simon aliweka idadi ya magari yaliyosajiliwa Tanzania Hapa.
Hawa wakulungwa naona wnaa Bodaboda nyingi
View attachment 2340813
Iwe kweli ama sio kweli bado issue ya magari ukanda huu ni below averageNow compare that ratio to 2/65 alafu utambie ni ngapi[emoji23]
Unataja majina ya miji ama vijijiHata wewe unajua hiki kimji hakilinganishwi na Eldoret. Huu rika yake ni Nanyuki/Kakamega/Kisii/Machakos n.k.
Tatizo ile terminal inahitaji supporting infrastructures kwa mfano vitu kama light rail link kwenda Pugu na nyingine Tegeta ni vitu vya kuzingatiwa pia terminal nyingine Mbagala! Sasa Uber na Bolt ndo hivyo zinapigwa vita mabasi ndo hivyo BRT phase II inasuasua! Unategemea nn?Uselee mkuu wa Mkoa au poyoyo aliyejenga listand tembo mweupe lisilo na maana!?
Ndio raha ya kukurupuka na mipango na mamiradi ya kupiga picha mkiita maendeleo..
Tembo mwingine mweupe kama machinga complex,na mamiradi mengine ya hovyo kama masoko and such upuuzi..
Nyie mawatu wenye akili ziko confined kwenye mavitabu mliyokariri mkijiita Wasomi huwa hamna akili..shangilieni si hiyo stand ni maendeleo mbona hamtaki tena..
Iwe miji ama vijiji, hayo ndio size ya Moshi. Kama ni vijiji basi Moshi pia no Kijiji.Unataja majina ya miji ama vijiji
So your source is a proclamation by a politician?As of 2012 DAR alone there was 1 million registered cars 👇https://allafrica.com/stories/201208010069.html. 🤣🤣🤣 hiyo namba unataja 2 million cars ni kwa DAR alone kwasasa
Ndio itaendelea kuwa tembo mweupe hadi muweke hivyo mnavyoita supporting infrastructures..Tatizo ile terminal inahitaji supporting infrastructures kwa mfano vitu kama light rail link kwenda Pugu na nyingine Tegeta ni vitu vya kuzingatiwa pia terminal nyingine Mbagala! Sasa Uber na Bolt ndo hivyo zinapigwa vita mabasi ndo hivyo BRT phase II inasuasua! Unategemea nn?
Hizo ni TeargasSasa hizi ni takataka gani umepost?
Sasa Kuna mtu anaweza ijua Tz kuliko waziri mwenye wizara yake husika we famba.? 🤣🤣.. yani uniletee data aliyondoka nyanyaako ndio niiamini hio.? U must be crazy
Huu ujinga was kuchukua proclamations za wanasiasa kama gospel truth ndio unafanya tunawaita bongolala.🤣🤣🤣Sasa Kuna mtu anaweza ijua Tz kuliko waziri mwenye wizara yake husika we famba.? 🤣🤣.. yani uniletee data aliyondoka nyanyaako ndio niiamini hio.? U must be crazy
🤣🤣🤣🤣 We mpunga unalazimisha vipi tuhadithiwe story za maisha yetu, Ulisoma wapi wewe kichaa.. yani niokote data mtandaoni niziamini kuliko data za Waziri.? 🤣🤣🤣🤣Huu ujinga was kuchukua proclamations za wanasiasa kama gospel truth ndio unafanya tunawaita bongolala.🤣🤣🤣