Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu nionyeshe mali ya mhindi kwa hiyo picha.
Huyo amechoka, these idiots has nothing to respond, wanatapatapa tu kujikomboa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
wacha niende zangu mimi.., itabidi nitulie hadi 2025 ndio tufanye comparison., tumewanyonga hawa kwa sasa.,
 
Unafikiri sisi ni kama ninyi mji wote wana umiliki wachina na wahindi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Everything you see in this picture is owned by Chinese and Indians mpaka barabara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2334559

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wenyewe wanamiliki sifa tu [emoji23]
 
Umechoka kama jiji la Mwanza tu, hauna faida yoyote humu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kisumooooo CBDs official express Uber and bolt 😂😂😂😂😂

images - 2022-08-25T163659.385.jpeg
images - 2022-08-25T163652.662.jpeg
images - 2022-08-25T163645.338.jpeg
images - 2022-08-25T163636.986.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wenyewe wanamiliki sifa tu [emoji23]
😂😂😂😂😂😂 Mifukara kichizi hii mijitu, ugali waliotoka kula ni muhindi na government ndio zimewezesha na mahindi yetu Watanzania halafu wanaleta jeuri 😂😂😂😂
 
Huyo amechoka, these idiots has nothing to respond, wanatapatapa tu kujikomboa 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
wacha niende zangu mimi.., itabidi nitulie hadi 2025 ndio tufanye comparison., tumewanyonga hawa kwa sasa.,
Kisumooooo ambulance 😂😂😂😂

No wonder it's the poorest and it's village chief has lost election 🤣🤣🤣

Screenshot_20220825-164738.png
 
Ufukara wa Wakenya uko wazi na Ufukara wa Kenya uko wazi pia, angalia maisha wanayoishi Wakenya wengi ni kutangatanga kila kona ya dunia, angalia njaa inavyoua maelfu ya Wakenya, angalia uchafu ulioizunguka miji ya Kenya, angalia infrastructures za Kenya zilivyo za ubabaishaji, yani Kenya ni kielelezo cha ufukara duniani na ndiyo maana mna ma slums yaliyovunja rekodi ya kudunia mpk ss.
Back to propaganda
 
Technology kwenye nn? Health sector? Madokta wetu rafiki zao ni madaktari wa India.

Roads? Mna highways tunazo pia, mna flyovers tunazo pia, tumewazidi kwenye interchange, sisi tuna 3level nyinyi hamna.

Railways? Hapa kwanza ncheke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Water vessels? Tuna meli nyingi za kisasa na kubwa kuliko nchi zote EA.

Technology ipi hiyo unazungumza?
Kumbe you just a big baby heh eti tumewazidi kwa interchange what a shame. Generaly technology tumewashinda starting from service delivery
 
Back
Top Bottom